Nakshi nyumba yako kwa finishing na Crystone paint

Fundi rangi

JF-Expert Member
Sep 11, 2014
3,527
1,210
Haya material ni punje zilizotokana na mawe yaliyo sangwa, kwakweli inapendeza, itakuondoa katika hali ya kupaka rangi jengo lako miaka hadi miaka. Inadumu sana, inafaa ndani na nje.

Hapa najaribu kuonesha majengo ambayo yamenakshiwa na Crystone paint, pamoja na sample za crystone paint. Inapatikana katika ujazo wa 25kg inaweza kupaka ukubwa wa 8sqm-10sqm. Ndoo moja ya ujazo huo inauzwa kwa tsh.120,000.

Garama za ufundi ni tsh.10,000 kwa sqm.

Kwa mahitaji wasiliana nami kwa namba 0766111212 karibuni tuwapambe. Pia kwa watumiaji wa whatsapp mwaweza kupata picha zaidi kupitia namba hii.
IMG-20141123-WA0009.jpg
20131516726607.jpg
20131516751134.jpg
IMG-20140628-WA0003.jpg
20140916_091735.jpg
20140916_091753.jpg
WIN_20021208_120000 (217).JPG
20131516951125.jpg
IMG-20140910-WA0029.jpg
 
Shukrani kiongozi tutawasiliana
Kwa wale wanaopiga simu kuuliza kama tunakwenda mikoani, kifupi makazi yetu ni Dar es salaam, kwa wahitaji wa mikoani tunafika kulingana na makubaliano. 0766 11 12 12 kwa mawasiliano au whatsapp ili kuona kazi zetu zaidi.
 
Haya material ni punje zilizotokana na mawe yaliyo sangwa, kwakweli inapendeza, itakuondoa katika hali ya kupaka rangi jengo lako miaka hadi miaka. Inadumu sana, inafaa ndani na nje.

Hapa najaribu kuonesha majengo ambayo yamenakshiwa na Crystone paint, pamoja na sample za crystone paint. Inapatikana katika ujazo wa 25kg inaweza kupaka ukubwa wa 8sqm-10sqm. Ndoo moja ya ujazo huo inauzwa kwa tsh.100,000.

Kwa mahitaji wasiliana nami kwa namba 0766111212 karibuni tuwapambe.
Bado sijaelewa wewe unauza hiyo rangi tu na fundi ni mwengine au vyote unavifanya,yaani unauza hizo rangi na kupaka mwenyewe.
 
Bado sijaelewa wewe unauza hiyo rangi tu na fundi ni mwengine au vyote unavifanya,yaani unauza hizo rangi na kupaka mwenyewe.
Kifupi, nina mahusiano na kampuni inayouza material mbalimbali za finishing zikiwemo hizi crystone paint.

Hivyo ukihitaji nakuja site kupima then nakupeleka kwenye compuni inayouzo unachagua kulingana na mahitaji yako. Fundi wa kubandika/kupaka ni mimi. Kwa maelezo haya naamini wewe na nawengine wa swali hili mmeshiba. Karibuni tuwapambe
 
Back
Top Bottom