Nakiri nilikosea....leo naongea kila kitu ili nipone hii tabia yangu mbaya

Aaa Burn unaharibu...si kila mtu wa Mungu ni msanii. Hao ulionao ni hao..lakini usigeneralize, hiyo i fallacy. Wahenga walisema do not make a rule out of a special case!
Kakae, we tafuta mchungaji akusaidie kukua kiroho! ushauri wa burn, kama kawaida yake, sawa na nguvu za giza!

wengi wanaamini hivi, kuna wachungaji weng wana kazi zao pia na wana maisha mazuri based on their professional work.Pia wengi husaidia sana wasiojiweza.Kuna wachungaji kweli wako kwa ajili ya kusaidia watu na sio pesa kama ndugu yangu Burn anavyoamini.
 
wengi wanaamini hivi, kuna wachungaji weng wana kazi zao pia na wana maisha mazuri based on their professional work.pia wengi husaidia sana wasiojiweza.kuna wachungaji kweli wako kwa ajili ya kusaidia watu na sio pesa kama ndugu yangu burn anavyoamini.

lakini kuna wachache sana wasio waamini...
Wanatawanya kondooo
 
pole mkuu, hayo ni mazoea ya tangu ulipokuwa mtoto, sasa nenda hospital ukapate ushauri, pole sana mkuu
 
pole mkuu, hayo ni mazoea ya tangu ulipokuwa mtoto, sasa nenda hospital ukapate ushauri, pole sana mkuu
asante sana kwa ushauri..
Jana nilirudi nyumbani kwangu..
Nilimtanguliza mzee wa busara mmoja akaniombee radhi kwa wale wapendwa walionifumania nikipiga deo..
Tumeyazungumza na tumeyamaliza..
Nimeshauriwa niende muhimbili kuna daktari bingwa wa magonjwa ya akili anaitwa mama hoogan..
Nimeambiwa ataweza kunisaidia nikaachana kabisa na tabia hii.
Asanteni sana ndugu zangu wa jamii fortums kwa kipindi chote tangu nlipofumaniwa kwani kiakili nilikuwa natembea kwenye bonde la uvuli wa mauti
 
Aisee, bujibiji at work

bujibuji umenichekesha sana, deo noma sana. unaanza na vioo shule mpaka ful deo mtaani. jamaa walimtanguliza aanze kupiga deo mara wanashangaa analalamika mpaka anasimamia vidole pale dirishani lkn habanduki, mamaaa! yalaaa! wenzake kwenda kumbe ni mamake watu wanapiga kabang, jinsi adiction ilivyokuwa mbaya japo ni mamake jamaa mwanzo mwisho alilikomaa na deo.
 
Back
Top Bottom