Nakerwa nikimwona taxi driver wa huyu dada...

Nyie acheni kumzingu trach, kama hamna ushauri mpite. Udogo, kwani mapenzi yana udogo au ukubwa? Nyie wakubwa yamewafikisha wapi?
Trach usipanic mpendwa.
Kwaherini.

Poa... Kwani wabishi wa mtandaoni si sawa na chawa tuu,ama viroboto.... Wanakera tu kitandani,lakini hawana madhara hata kidogo...
 
Ungenifafanulia kidogo...ila naamini maombi ni jibu la kila kitu...

Meanwhile nataka kujua where my problem is..

And as we speak,ametoka kunipigia simu muda si mrefu! Hata dakika 15 bado!

kosa lako ni kujiweka karibu zaidi na huyo mdada na kuanza mambo ya wivu.
 
Ila huyo bwana'ake kwanza ni Diabetic,na pili,amemzidi umri kwa karibu miaka 20!

Na mimi niko "single"..

Ila nilipenda kuwa naye close kabla sijamjua ni mtu aliye commited na mahusiano yake..ile feeling bado ninayo jamani..

Please nieleweni!

usitoe hizo kasoro maana mizizi ya penzi lao waijua wenyewe.
 
pole Trachy,

hapa ninachoona ni hiki,
unakumbuka sredi ya The Boss ya 'just friends'

inawezekana ulikubali kuwa karibu na huyu dada ukitegemea mko just friends kwa ajili ya kupunguza upweke hasa ukizingatia wewe ni single.

Katikati ya just friends hisia zako zimeanza kubadilika, lakini unajua kabisa binti ana komitment na mtu mwingine.
Na kitu kinachokupa hope kwamba siku moja waweza mpiku aliyepo ni hicho kisukari na umri, unaona kama si stahili kwa huyo dada kuwa na mahusiano na baba huyo.

Ukianza mahusiano na mtu aliye na komitment somewhere else unaikubali hiyo hali sababu wewe unajua kabisa unaibia mtu. Lakini ukiona mtu mwingine anamfuata mtu huyo unakuwa so defensive unahisi kama unavyomwibia jamaa na wewe utaibiwa.

Ndo maana unamchukia tax driver sababu unahisi anaweza kukupiku.

Kama hutaki kuumia kaa mbali na huyo dada maana naona feelings zinataka kuingia hapo.

Pole sana, feel ya!
 
Ni rafiki mpya,ingawa hajawa mpenzi wangu..maana ana mahusiano na mtu mwingine.

Ila,hatuishi kujuliana hali karibu kila siku. Sasa tunapomaliza maongezi,akiwa anataka kuondoka,anamuita dereva fulani kijana aliyemzoea...
Amekuwa akifanya hivyo mara nyingi.. Mpaka nakerwa driver yule anapokuja..

Nimemuuliza kama wana mahusiano,akaruka kimanga kwamba hana!

Ila naomba muelewe kuwa mi niko "single",yeye ana mahusiano,nayoweza kuyaita ya kudumu,na vilevile tunapenda kupeana "company"...

Je,ni tatizo la ajabu?
Ama la kawaida?
Ama vipi?

Unataka kuwa spare tyre? Go ahead!
 
pole Trachy,

hapa ninachoona ni hiki,
unakumbuka sredi ya The Boss ya 'just friends'

inawezekana ulikubali kuwa karibu na huyu dada ukitegemea mko just friends kwa ajili ya kupunguza upweke hasa ukizingatia wewe ni single.

Katikati ya just friends hisia zako zimeanza kubadilika, lakini unajua kabisa binti ana komitment na mtu mwingine.
Na kitu kinachokupa hope kwamba siku moja waweza mpiku aliyepo ni hicho kisukari na umri, unaona kama si stahili kwa huyo dada kuwa na mahusiano na baba huyo.

Ukianza mahusiano na mtu aliye na komitment somewhere else unaikubali hiyo hali sababu wewe unajua kabisa unaibia mtu. Lakini ukiona mtu mwingine anamfuata mtu huyo unakuwa so defensive unahisi kama unavyomwibia jamaa na wewe utaibiwa.

Ndo maana unamchukia tax driver sababu unahisi anaweza kukupiku.

Kama hutaki kuumia kaa mbali na huyo dada maana naona feelings zinataka kuingia hapo.

Pole sana, feel ya!

Asante.. Konnie...

You have answered all... Nami nitajiepusha naye kwani ndiyo solution iliyobaki.. Thanks..
 
kama hutaki kujichanganya zaidi kaa naye mbali.

Hisia zako zinaanza kukusaliti kidogo kidogo.
Baadae utaanza kumuonea hasira hata huyu baba aliye na mahusiano naye.

Kama kuna kitu hakina adabu ni hisia za mapenzi.

Unaweza jikuta unamuwaza mtu ambaye you know very little about her/him.

Wala mie sikushangai na wala sikuhukumu, cha muhimu kaa naye mbali tu.

Ahasante sana Konnie...

Kweli,kuna vigogo halisi ndani ya JF... Si kama watu fudede huko page za nyuma..

Ahsante sana Konnie..
 
kama ana mahusiano ya kudumu we wa nini? kwa nin usitongoze single kama wewe ili uwe na uhakika wa mahusian ya kudumu, kuliko kudandia?
 
kama ana mahusiano ya kudumu we wa nini? kwa nin usitongoze single kama wewe ili uwe na uhakika wa mahusian ya kudumu, kuliko kudandia?

Ahsante...

Kiukweli kwa sasa sina haja ya mahusiano ya kimapenzi kabisa! Mi ni majeruhi wa mambo ya mahusiano,so sitaki... Ila kama nilivyojieleza,ni kitu kilichokuja from nowhere BPM!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom