samahani mkuu,hivi Nato nao ni nguvu ya umma wa Libya?Vyovyote iwavyo utawala wa Muamar Ghadafi ndo umeshafikia mwisho kwa sababu hadi hivi ninapoandika anapigania mji wa Tripol tu wakati yeye alikuwa mtawala wa nchi nzima. Na kwa taarifa yako ilikuwa ngumu sana kumzungumzia Ghadafi hovyohovyo nchini Libya lakini leo watu wanauwa hadi wajukuu zake na kumtukana waziwazi. Ni suala la muda tu kwani hakuna aliyeamini kwamba Gbagbo angeng'oka lakini yuko wapi? NGUVU YA UMMA NI NOUMA!!!!!!!!!!