tyc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,179
- 2,955
Habari mkuu, nimeandikiwa dozi ya typhod baada ya kupimwa, kisha nikapewa dawa imeandikwa CIPROBUD ( ciprofloxacin) dozi ni 1*2 ,, ila kwa bahati mbaya sijaelewa hio 1*2
Je inamaanisha vidonge viwili kwa siku ( nimeze kwa pamoja mda wa asbh tu kwa siku) au vidonge viwili kwa siku (kimoja asubuhi na kimoja jioni)??
Shukran za dhati kwako kwa thread hii
Je inamaanisha vidonge viwili kwa siku ( nimeze kwa pamoja mda wa asbh tu kwa siku) au vidonge viwili kwa siku (kimoja asubuhi na kimoja jioni)??
Shukran za dhati kwako kwa thread hii