New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,310
- 2,425
Tatizo la kutokula vizuri na kukosa choo had siku tatu..
Naomba usome post za nyuma kuna mtu nilimjibu kuhusu tatizo kama lako.Post namba 542.
Soma post no 150.Hupati choo kwahio ndio maana huli vizuri kwasababu tumbo linakuwa limejaa.Tatizo la kutokula vizuri na kukosa choo had siku tatu..
Benzathine Penicillin G ndo tiba ya syphillis na kama una allergi na penicllin chaguo jingine ni Doxycycline au erythromycine zinaweza kutumika kulingana na stage ya syphillis ulokuwepo.Ni dawa gani inatibu VDRL Kama sindano za cef zimeshindwa. Hakuna dawa nyingine
Mdogowangu anasumbuliwa sana na chunusi nisaidie ushauri mpendwa
Hellow wapendwa,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!
Karibuni sana..
Njegere na green beans havina shida kuliwa kwa mtu mwenye kisukari. Mchele mzuri ni wa brown na ni kwasababu haujakobolewa kwahio una fibers nyingi zaidi na nutrients nyingine muhimu zinazohitajika mwilini.Iv njegere na green beans hazina shida kwa MTU wa sukar?na dona.na ule Michele wa brown ni mzur?na nini tofaut zake na sembe au na Mchele wa kawaida?
Njegere na green beans havina shida kuliwa kwa mtu mwenye kisukari.Mchele mzuri ni wa brown na ni kwasababu haujakobolewa kwahio una fibers nyingi zaidi na nutrients nyingine muhimu zinazohitajika mwilini.Fibers zinasaidia chakula kikae muda mrefu tumboni na kuchukua muda kuwa digested hatimae kusababisha sukari kuongezeka kwa kiwango(gradually).Mchele ambao umetoka kuvunwa unakuwa na ganda gumu nje lisilolika,ukikobolewa unapatikana mchele wa brown ambao una fibers na nutrients tofauti na ukikobolewa zaidi ndo unapatikana mchele mweupe ambao ukila unapandisha kiwango cha sukari mwilini.Sembe/dona na mchele mweupe sishauri vitumike sana kwasababu vina starch na protein nyingi zaidi.
Kukiwa kwenye matatizo kwenye clotting process kunasababisha damu kuwa nzito.Mkuu damu kuwa nzito mwilini nakusababisha kutotembea kwa wakati.nini dawa yake?ukiongezea na kunywa maji kwa wingi.
Kukiwa kwenye matatizo kwenye clotting process kunasababisha damu kuwa nzito.Clotting system ikiwa kawaida ukijikata,thrombin inakuwa released kwenye damu na kusababisha biochemical reaction inayosababisha clotting agents kuwa released.Dhumuni la kuclot ni kutengeneza clot moja na hilo likikamilika clotting inazimika.Kwa baadhi ya watu hii clotting system inashindwa kujizima na ksuababisha mishipa ya damu kutawaliwa na fibrin layer Damu ikiwa nzito inasababisha oxygen,nutrients na hata hormones kushindwa kusambazwa mwilini ipasavyo.Dawa zipo tofauti kulingana na tatizo na how serious lilivyo mfano kama una thromboembolism.Mfano kama heparin,warfarin n.k
Et maziwa .Nazi na Karanga mgonjwa wa sukari anaweza kutumia?
Hellow wapendwa,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!
Karibuni sana..