Nakaribia kupumzika kwa amani!!!!

hoyanga ina maana kweli umepumzika kwa amani, ".......inuka wewe ulalaye, toka kwa wafu na KIRSTO atakuangazia......."
 
Pole Mkuu! Ila tatizo lako linatibika kama utafuata ushauri wangu!
Tengeneza mchanganyiko ufuatao...
Juice ya Limao glasi 1.
Glasi 1 ya Maji ya Betri.
Steel wood (stili waya) 50grms.
Dettol ya maji 250ml.

Utatumia kunywa na kupaka mchanganyiko huo mara 3 kwa kutwa. Pia usisahau kucheza michezo ya kitoto kama vile Ready(rede) mdako na kushiriki kucheza kibaba-baba na watoto walio karibu yako hasa umri wa miaka 6 hadi 9... Utapona! Wengi wamepona kwa kuzingatia ushauri huu. Ukipona tafadhali usinitafute tutakutana siku ya mwisho unipe asante yako..!
Ugua poleee!
...Ukisikia bangi ndio hizi sio bure aisee!!!
 
Just loved this thread...........mwombeni huyu mutu. Duh tafadhali muone daktari aisee
 
mwambie God kama ukimwona kuwa jk ana hali mbaya km ya gadaffi
 
Back
Top Bottom