Nakanusha...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
1. Si kweli kuwa Usalama wa Taifa hawakuhusika na utekaji na uteswaji wa Dr.Ulimboka.

2. Si kweli kuwa Zitto Kabwe hataki kitu ambacho hatakipata.

3. Si kweli kuwa Rais wa Zanzibar anauunga mkono Muungano.

4. Si kweli kuwa Rais Kikwete hakushindwa kudhibiti mfumuko wa bei.

Mwenzangu je?
 
si kweli kuwa JAMII FORUMS IS WHERE WE DARE 2 SPEAK OPENLY NA MAJINA KAMA HAYA
 
Back
Top Bottom