Elections 2010 Nakala za CDs za kuhamasisha wananchi

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,991
Natafuta watu ambao watakuwa na uwezo wa kutoa nakala za bure za CD - NIMESEMA ZA BURE - za kuhamasisha. Ndani yake kutakuwemo na tracks kadhaa za mahojiano yangu na wana harakati mbalimbali wa mabadiliko ya kisiasa nchini ambayo baadhi yake hayajawahi kusikika.

Niandikie kwa barua pepe::

a. Niambie una uwezo wa kutoa CDs ngapi - minimum CDs kumi
b. Kwa haraka kiasi gani unaweza kutoa CDs hizo
c. Na uko maeneo ya wapi - sitochukua wengi wa maeneo ya Dar nataka nje ya Dar zaidi au wale wanaosafiri safiri kwenda nje ya Dar.

Nitumie mwa barua pepe yangu hapa chini.

Thanks
 
Mmh.. haya mabadiliko yana kazi kweli.. watu hawataki kuingia gharama au wanaogopwa kuulizwa? zitakuwa ni CDs za hotuba na mahojiano ya watu kama kina Dr. Slaa, Mnyika n.k
 
Natafuta watu ambao watakuwa na uwezo wa kutoa nakala za bure za CD - NIMESEMA ZA BURE - za kuhamasisha. Ndani yake kutakuwemo na tracks kadhaa za mahojiano yangu na wana harakati mbalimbali wa mabadiliko ya kisiasa nchini ambayo baadhi yake hayajawahi kusikika.

Niandikie kwa barua pepe::

a. Niambie una uwezo wa kutoa CDs ngapi - minimum CDs kumi
b. Kwa haraka kiasi gani unaweza kutoa CDs hizo
c. Na uko maeneo ya wapi - sitochukua wengi wa maeneo ya Dar nataka nje ya Dar zaidi au wale wanaosafiri safiri kwenda nje ya Dar.

Nitumie mwa barua pepe yangu hapa chini.

Thanks

Kwa Jina la Yesu ninauombea mpango huo ufanikiwe
 
I'm ready to pay someone who will produce the CDs. It would be good though to know how much it costs to produce 10 CDs for budget purpose. I will email ypou Mwanakijiji for further follow-up. I personally thank you for initiating this efforts. it will help many of tanzanians to know Dr. Slaa and those interested in the development of Tanzania. C U
 
Natafuta watu ambao watakuwa na uwezo wa kutoa nakala za bure za CD - NIMESEMA ZA BURE - za kuhamasisha. Ndani yake kutakuwemo na tracks kadhaa za mahojiano yangu na wana harakati mbalimbali wa mabadiliko ya kisiasa nchini ambayo baadhi yake hayajawahi kusikika.

Niandikie kwa barua pepe::

a. Niambie una uwezo wa kutoa CDs ngapi - minimum CDs kumi
b. Kwa haraka kiasi gani unaweza kutoa CDs hizo
c. Na uko maeneo ya wapi - sitochukua wengi wa maeneo ya Dar nataka nje ya Dar zaidi au wale wanaosafiri safiri kwenda nje ya Dar.

Nitumie mwa barua pepe yangu hapa chini.

Thanks

Msg sent!
 
Back
Top Bottom