Nakala Hukumu Kesi ya Mahanga vs Mpendazoe Jimbo la segrerea

Tunashukuru sana mkuu nilikuwa naitafuta sana kwa hamu kwani hukumu hii imeleta gumzo sana mtaani.
 
Kiukweli nimeisoma,kuna mapungufu makubwa ambayo wakili wampendazoe hakuyarekebisha.Mfano documentszilizoambatanishwa kwem
nye madai hazikutolew kama ushahidi,baadhi ya sehemu zilizokuwa zinalalamikiwa hapakuwa na ushahidi wa.moja kwa moja bali mpendazoe alijitetea kwa kusema alisikia.Hayani makosa makubwa kisheria.Nadhani inabidi idara ya sheria ijipange kwenye hili,kesi ilikuwa nzuri,ila wakili wa Mpendazoe kaharibu.
 
asante mwana jf kwa kutuletea huu uzi..tuwasubili wanasheria waidadavue
 
Back
Top Bottom