NAKAAYA ...yuko wapi?

Yupo Arusha mostly Tengeru pale Bar kwao au Duluti club.

Anaeza kurudisha heshima yake kama atajirekebisha.
 
​Kupotea njia ndo kujua njia. Next time atatumia mauzoefu aliyoyapata kufanya maamuzi stahiki.
 
Duh!Nimecheka kweli,bangi ya Olokokola ndo ya wapi mkuu?Kijit ya wapi hiyo?Ama ndo jina jipya la kijiti ya R?
Olkokola ni kijiji cha wa masai mkoani arusha na zao lao la biashara ni bange coz maeneo hayo udongo wake ni wa volkano so bange yake ni kali balaa kwa mfano mtu kama wewe ukivuta bange iyo lazima ulale juu ya dari badala ya kulala kitandani.
 
mkuu nitakutafuta huwa naitafuta sana hii kitu...
 
umeneja wa nini? ama kuuza nyapu boogaloo
na masaburi pub pale mianzini? memiss sana Arusha dah!

Nakaaya Sumari gsumari@gmail.com
Nov 9

to arushamailing

This message has been deleted. Restore message
Hello,

I am a young Tanzanian female interested in a management job preferably in the tourism and hospitality industry. I am equipped with a bachelors in political science and communication. I hold a diploma in human resource management.

I have extensive exposure and am open to working in any location. Please feel free to contact me for the relevant documentation.

Thank you in advance.

Sent from my BlackBerryŽ smartphone from Vodacom Tanzania
 
Wabongo sisi nouuma babu mpaka umeicopy application yake. Hapa ndio tofauti ya sisi waafrika inapojionyesha.
Huyu msanii anaonekana sana Mlimani city na vinguo vyake vifupi mida lunch time.
 
Wabongo sisi nouuma babu mpaka umeicopy application yake. Hapa ndio tofauti ya sisi waafrika inapojionyesha.
Huyu msanii anaonekana sana Mlimani city na vinguo vyake vifupi mida lunch time.

Sema wewe ndio akili yako inapojionyesha.
Sasa wewe huoni alituma kwenye group hivyo nia yake ni ionekane na watu wengi iwezekanavyo
Kwa hiyo hapo nimempigia pande. Kama kuna position mahali,m contact.
 
Last time alikaririwa akisema ameamua kuachana na siasa kuwa imempotezea muda wake.....kwangu this was a stupid excuse kwasababu mtu halazimishwi kuingia katika siasa sasa inakupotezea vipi muda. huyu ni katika ya vijana ambao wanasukumwa na njaa zao kufanya maamuzi. Anayekupa chakula ndio anakuamulia cha kufanya

watu bana sasa hiyo ndio excuse aliyotoa.. ni kweli siasa ni upuuzi mtupu! wewe ulitaka atoe excuse gani ili akufurahishe ..?! asema kwamba toka nilipoonda CDM NAJUTA!... LoL... fikiri! man

273263_629301279_812146532_n.jpg
 
Sijui ni njaa au tamaa kilichompeleka magamba?
huwezi kutenganisha njaa na tamaa,kwa hiyo vyote anavyo...
ukitaka kuhit kwenye hiphop go against the system not side with them,..much less this corrupt system.
sijui nani alimroga huyu mrembo?
 
huwezi kutenganisha njaa na tamaa,kwa hiyo vyote anavyo...
ukitaka kuhit kwenye hiphop go against the system not side with them,..much less this corrupt system.
sijui nani alimroga huyu mrembo?

wanasiasa ndio waliomuigiza chaka wakammega
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom