Elections 2010 Nakaaya Sumari Kugombea Ubunge CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Hongera dada! gombea uSIjali utapata hata kama ni hilo jimbo letu la ARUMERU MASHARIKI GOMBEA TU.
 
Namshauri avae kiheshima, sio kuweka kitovu au mat*t* nusu nje. Wakina mama wa kiafrika huwa hawavai hivyo.
 
HONGERA SANA NAKAAYA KWA KUAMUA KUTUMIA HAKI YA MSINGI... politics si rahisi na si nzuri sana hasa kama wewe ni muadilifu... it doesnt matter uko chama gani, lakini hypocrisy and politics are life-mates!!! KAZA MSULI, SI LAZIMA USHINDE LAKINI SAPOTI IPO YA KUTOSHA... NOW, NAKAAYA AMEAMUA KUWA PUBLIC KWA KUWEKA NIA, JE ATAWEZA KUONGOZA WANANCHI WAKATI ANA BIFU HATA NA NDUGU YAKE WA DAMU? TIC-TAC' THE CLOCK IS TICKING AND I WISH NAKAAYA ALL THE BEST
Stop Insinuating,kila familia ina matatizo yake na hakuna cha ajabu mtu kuwa na matatizo na ndg yake fulani,it happens and that doesnt affect one's leadership skills!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom