AK-47
JF-Expert Member
- Nov 12, 2009
- 1,373
- 199
Huyu ni opportunist. Ina maana amejiunga tu juzi na Chadema na kutaka ubunge, katiba ya chama ameielewa, katiba ya nchi anaielewa vizuri, kazi za mbunge anazifahamu? Au kuimba tu muziki tena single ya 'mr. politician' ndio kawa mwanasiasa? Basi Prof. J. angekuwa mbunge siku nyingi! Hivi ile deal yake na Sony imeishia wapi? Niliwahi kumsikia kwenye TV kwenye tamasha la wasanii pale British Council anasema anachukia watu wanaoiga mambo ya 'western' kama kuweka dawa nywele, sasa ile nywele yake uwa ameipaka mlenda? Huyu ni kati ya wale ambao hawatendi wanaoyohubiri! Marehemu Amina Chifupa alinzia kwenye vijana na alitumia vizuri talanta aliyopewa kuzalisha talanta nyingine!! Nakaaya jiandae kufunua talanta yako!!!
Sio kweli mbona huko bungeni kunamambumbu hawamfikii kimawazo Nakaaya tena kazi yao kusinzia tu.