Nakaaya Sumari aachana na siasa; akiri hana passion nayo

Nakaaya aliruka mkojo akakanyaga kinyesi.Walimtumia sana Ccm Riz1,Freddy Luwasa wamemtumia sana Nakaaya hana jipya leo angekuwa Mbunge Chadema tulidhani ni Mzalendo kumbe fisadi wa kike.

wala asingekuwa mbunge aliondoka huko baada ya kuona rongoro ktk uteuzi wa wabunge viti maalum kwani yeye hakuteuliwa hivyo ndivyo alisepa
 
wala asingekuwa mbunge aliondoka huko baada ya kuona rongoro ktk uteuzi wa wabunge viti maalum kwani yeye hakuteuliwa hivyo ndivyo alisepa
Mbona aliondoka kabla ya uchaguzi? Uteuzi wa wabunge viti maalum ulikuwa bado.
 
Kuna Jamaa yangu mmoja anaitwa Peter G. M .aliwahi kuigonga hii mashine. anakiri mtoto wa kimeru yuko vizuri kwenye 6x6.
 
My personal view: The girl looks desperate, alifikiri angefikiriwa na mkuu baada ya kuchana kadi ya chadema pale uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha na kupewa ya CCM. Namuonea huruma sana, hajamaliza ya kwenye kutapeliwa kwa kupewa mkataba feki na Sony Inc, mengine yanampata tena.

Jamaaa alimtumia ,akamula cheee akiahidiwa ukuu wa wilaya.
Sasa walaji wamemkiambia,
Hana jipya
Tusubiri single
 
Kupitia kwenye kipindi cha Amplifier cha Clouds FM cha leo, Nakaaya Sumari amesema ameachana na siasa kabisa na anaamini ulikuwa ni uamuzi wa pupa kwa yeye kujiingiza kwenye siasa.

Anasema siasa haina dili na watu wanakuwa maarufu kwa muda tu, so ni bora aconcentrate na uanaharakati. Akaendelea kusema kuwa hakuna tofauti kati ya siasa ndani ya chadema na ccm....wote ni walewale tu.

My personal view: The girl looks desperate, alifikiri angefikiriwa na mkuu baada ya kuchana kadi ya chadema pale uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha na kupewa ya CCM. Namuonea huruma sana, hajamaliza ya kwenye kutapeliwa kwa kupewa mkataba feki na Sony Inc, mengine yanampata tena.

Ni kuchanganyikiwa na maisha,muacheni muone...
 
hapo ndio mjue CDM hawakurupuki,eti huyu ndio alitaka ubunge badala ya lema!
 
hofu yangu ni moja tu.. huenda alitoa "PENZI" uchakachuzi kwa m1 wa kigogo akitegemea atapewa viti maalum.. Mpuuziii.. Imekula kwake
 
nakaaya anatapatapa tu. Alishapoteza nafasi muhimu. Anacheza na magamba? Asifananishe cdm na ccm.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom