Elections 2010 Nakaaya ana hali gani?

PakaJimmy hebu nipe info. Huyu Nakaya Sumary alikuwa Chadema, kuna kipindi nilisikia katimkia CCM. Sasa pole ya nini?
 
Mwanga na giza huwa havichangamani, afadhali alijiondoa mapema kuliko angekuja kutuchafulia hewa baadae.......Nakaaaya, kafie mbele! hiloooooo! Mafisadi! Piga chini! Wezi! Piga chini! Majambazi! Piga chini!
 
PakaJimmy hebu nipe info. Huyu Nakaya Sumary alikuwa Chadema, kuna kipindi nilisikia katimkia CCM. Sasa pole ya nini?
Pole ni kama hivyohivyo, kuwa amekikimbia chama chenye Neema na kwenda kwenye chama la MAJAMBAZI!
Na ikumbukwe kuwa huyu dada alikuwa mwanaharakati mzuri sana hasa kwa nyimbo na kauli zake!
 
Atajuuta kuganga njaaa.........na itabidi arudie uwe wimbo wake wa mr.politician...........nyambafuuuuuuuu.........
 
Mwana mpotevu aliporudi alikaribishwa, dada unakubali ww ni mwana Mpotevu? Kama unajua hivo basi acha kushiriki chakula na nguruwe rudi nyumbani kwa baba yako.
 
Huyo nakaaya kazoea kudanganywa. Jamaa wa mkataba wa sony alikula akapiga chini. Ccm nao wamekula na watampiga chini. Wasanii na mashabiki wake nao wamtose akafie mbele
 
Mhhh! pole ya nguvu, ulipoimba POLITICIAN ulidhani mzaha? wimbo ni tofauti na reality. Huyu mkwere kweli kakuweza mama.
 
ndiyo mambo ya kutangatanga, ccm umemuonga arudi kwao sasa anajutia koma ukomae:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom