Elections 2010 Nakaaya ana hali gani?

Nakaaya worths nothing of out time PJ... just put her in your ignore list... SHE IS A PUPPET
 
QUOTE=The Finest;1200089]Jukwaa lile la kule leo watanisamehe maana niko kisiasa zaidi leo[/QUOTE]

hahaha mie pia wanisamehe kule sitaingia kabisa mpaka nione mambo ya nchii hii yanaendaje
 
Mimi mwenyewe nilikuwa namuwazia huyo huyo, akome kujigonga kwa jk, yaani alitugeuka vijana wenzake bila aibu, mi naona atakuwa amepoteza fahamu saa hizi
 
QUOTE=The Finest;1200089]Jukwaa lile la kule leo watanisamehe maana niko kisiasa zaidi leo

hahaha mie pia wanisamehe kule sitaingia kabisa mpaka nione mambo ya nchii hii yanaendaje
Tanzania kwanza...Mapenzi jioni!..tena mapenzi yananoga sana kama chadema inapeta!...pole nakaaya, utakuta nanihiino hainogi kabisa leo...!:wave:
 
Mshambatu! ana lolote, acha ajifunze. Sasa sijui atarudi vip hom manake tyari aibu kama nin.
 
Najaribu kuwaza Nakaaya Sumari atakuwa na hali gani kwa sasa, hasa baada ya kuanza kushuhudia kwa macho yake maana halisi ya Peoples Power, nakushuhudia mabesti zake almost wote aliowatelekeza wakiingia mjengoni!!

Tatizo hapa huyu dada wa kizazi kipya ana ugonjwa ninaouita............OPPORTUNIST IN CHIEF......................
 
Na mambo yalivyo safi sasa hivi angekuwa assured ticket ya mjengoni kwa viti maalum. Lakini kwa kukosa msimamo na kutokuwa mtu wa principles amekosa mambo. Najua uamuzi wake utakuwa unamwuuma sana.
 
dada yetu alidanganywa na mkwere she didnt know the meaning of peoples power when comes to changes te te te te te teh kwani mkwere alikuonga sh ngpi dada?

Huwezi jua!!! Labda aliahidiwa viti maalum, au hata u-DC!!!! Vezi kua bana...
 
Just as Info, Huyo Jeremiah Sumari si baba yake, wanashea tu huko kwenye ukoo, teheteh...
 
Just as Info, Huyo Jeremiah Sumari si baba yake, wanashea tu huko kwenye ukoo, teheteh...
Whatever it could mean, who cares!!

Asante kwa kuweka sawa kama ndivyo, tuangalie jinsi ya kumsaidia huyu mdada!
 
Inaonekana huyu dada anatamaa sana na maisha,sasa ataona aibu!!!!!!!!!
 
Huwezi jua!!! Labda aliahidiwa viti maalum, au hata u-DC!!!! Vezi kua bana...

u'Dc? hiyo system si Slaa alisema ataifutilia mbali!! Hata kama hiyo system itaendelea lakini sidhani kama Slaa atamteua huyo msaliti.
 
yule mjinga sana alizani amefika kumbe ndo kwanza kapotea

weraaaaaaaaaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom