Najuuuuuta Kuifahamu

Ukitaka kujua kuwa umekuwa addicted subiri JF itakapoondolewa kwa siku chache.. utajisikiaje? NI mara ngapi unataipu Jamiiforums.com na kukuta ni hewa tupu.. unajiuliza maswali gani na mangapi? Ukijikuta unajaribu mara nyingi na unaimiss na unatamani hata umpigie simu rafiki yako kujua "kulikoni".. au kama umeenda mahali ambapo huna access na pala upatapo badala ya kuanaglia email toka kwa familia n.k unakimbilia JF basi you are addicted..
 
Pia huwajibiki vyema kwa muajiri wako. Hilo hujalitaja na wala usipinge. Mpo wengi lakini
 
Kuna utumwa na utumwa; Utumwa wa kutumwa na utumwa wa kujituma. KUna utumwa wa mwili na utumwa wa akili. Mradi kuna utumwa na utumwa. Utumwa wa wengi wa JF ni wa kujituma na akili. KUtokona na kufanana kwa mawazo hayo kufanana kwanini JF kisiwe chama cha siasa ili kifanya TZ kupiga hatua kubwa ya maendeleo haraka?
 
Hauko peke yako wako wengi tu.lakini kuna vitu vizuri unavyofaidika navyo unapokuwa kwenye jukwaa hili.Usijali kuhusu marafiki tupo wengi tu humu JF ambao ni rafiki zako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom