funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,558
- 21,035
una muda gani toka umeanza kutafuta kazi? vumilia tu na usichague kazi mpk hapo utakapopata kazi of your dream ila nakushauri ufanye shughuli binafsi kipindi hiki unatafuta ajira kama ukiona zinaenda vizuri komaa nazoWanajf wenzangu mie nashindwa elewa hv nn dhumuni la kupata elimu..mimi ni mmoja kati ya wahitimu maelfu waliomaliza vyuo mbalimbali tz,lakini kitu kinachoshangaza asilimia karibu 90 ya wahitimu wa vyuo hawana ajira ,je utumishi wa umma ambao wanadhamana ya kutangaza nafasi za ajira wanajua hlo au wanasubiri hadi vijibabu na vijibibi vilivyopo makazini vife(siombei) ndo tupate ajira ama?tusaidiane wapendwa ili kdunchu tupate afueni mana hadi muda huu tunajutia elimu zetu jameni,lol...
Hiyo title ya najuta kusoma na ya kipuuzi sana (hata kama ukikasirika shauri yako) dunia nzima inasisitiza watu wasome na maendeleo ya nchi upimwa kwa idadi ya wasomi pia leo unasema unajuta kusoma, siku ukipata kazi utasemaje unashukuru kusoma? toa hiyo dhana ya najuta kusoma maana ukikaa nayo kichwani unaweza hata usije kusomesha watoto wako kwa ajili tu ya mapito yaliyokukumba. Mie naona wewe umesoma ila hukuelimika ndio maana unajuta hovyo hovyo, siku hizi kuna shule kibao za private wanatafuta graduate wakafundishe je umejaribu kwenda kuomba? au unasubiri uwe officer tu bila kupitia shulba zozote? kwa taarifa yako hata Nyerere alianzia kuwa Mwalimu na Kikwete alianzia kuwa mjeshi na hao wote ni walikuwa marais mwisho wa siku.