Najuta nimezaa nje ya ndoa, ushauri wako muhimu sana

Daaaah pole sana kaka lakini unaweza kumwambia mkeo akaelewa au ukamwambia huyo binti uliyezaa naye nje kuwa una mke na watoto ila majukumu yote kwa watoto hao mapacha utakuwa unampa ila suala la kumuoa haitawezekana ataelewa tuu sababu huwezi kumuacha mkeo ukamuoe huyo mwingine.
 
nakushukuru sana Amsterdam kwa kuniiita ingawa ninauchovu wa fungateni ndo maana niliadimika but naomba nikwanza mleta uzi aniambie kwamba yuko siriaz ama?

Anyways mimi ningemshauri hivi, kwanza atambue kwamba alishakose and hawez kubadilish hali hii. pia duniani kuna makosa ambayo ukifanya yanaweza kupotea na kufutika lakin mengine kamwe hayafutiki. makosa yasiyofutika kamwe kwa binadam ni kama kuua na kuzaa nje ya ndoa yako mengine nitayasema siku nyingine.

makosa haya huambatana na mtu milele kwani huacha alama ya uhai ambayo daia hulia pale ilipo. ukitaka kuamni jiulize kwanini mtoto aliyezaliwa nje huwa daamu yake inamsumbua mzazi wake hata kama atazeeka huyu mtoto?

sasa kwakulitambua hilo na kwakujali amani ya familia yako pande zote mbili yaani huyu wa ndania na huyu wa nje, sikulazimish ila fanya hivi.

mweleze mkeo ukweli wote pasi kumficha chochote kile, tambua kwamba yeye ndiye msiri wako. unapomweleza onyesha kwamba umekosea na unayatambua makosa yako na kwamba sasa hivi unataka kujinusuru na uharibifu zaid jua kwamba mficha maradhi mauti humuumbua. unapomwelezea mkeo usijikweze wala kuleta ubabe bali mweleze kwa namna kwamba unataka msaada wenye tija kutoka kwake. atakacho amua akiwa na hasira jua kwamba ni hasira tu so mwache aamue akiwa ametulia na kichwa kimetulia. usimlazimishe akufeve mapema itachukua muda ila jipe moyo kwamba ataamua kwa akili tu akisha tuliza hasira.

maaamuzi mazuri yanweza kuwa ya kukubali kuwalea watt hadi wakue wakifikia umr wa kwenda shule wachukue kisha mama wa mapacha mpe uwezo aanze maisha mengine, namaanisha muwezeshe kiuchumi wewe lea mapacha wako. sikwambii mpelekee mkeo la ama wapeleke kwa bb la ila utaangalia wapi ambapowakilelewa amani itapatikana tu.

ijulikane kwamba amani na furaha ya hawa watoto ipo kwenye wewe kukubali kuwapatia manake at anypoint maisha hayawapi iyo option tena hasa kwasababu wamezaliwa nje ya ndoa na wewe tayari unayofamilia. jua kwamba wewe ndie utakayeruhusu watt hawa wateseke ama waish vyema ingawa full kujirusha kwao ni ngumu sana.
 
Last edited by a moderator:
Dah!Nimevutiwa na uungwana wa huyu jamaa.Aiseee,kazi ipo hapa lakini kwa kuanza hebu msikilize ount gfsonwin ili nami nijipange kukushauri!
 
Funguka mapema kwa mkeo, maana hamna siri hata kuta zina masikio, bora asikie jambo hili toka kwako kuliko kulipata kwingine, hutaweza kuhimili shock wave itakayotokea baada ya mkeo kupata taarifa kwingine
 
Dah!Nimevutiwa na uungwana wa huyu jamaa.Aiseee,kazi ipo hapa lakini kwa kuanza hebu msikilize ount gfsonwin ili nami nijipange kukushauri!
Eiyer nafurah sana kuona na wewe unajandaa kumshauri huyu mwenzetu.
kuna jambo ambalo limenikumbusha mbali sana kwa huyu mkaka in such a way natamani nimpe ushuhuda kidogo ambao i went through hose days.

niliwah kuwaambia kwamba mr alikuwa na mtoto wa mashtuzi, tofauti ni kwamba huyu nilimkuta na hakunikuta mimi. napenda nimshuhudie jinsi ambavyo mimi nililazimika kuiumba amani ya familia yangu kwa ishara ambayo niliiona nilipoambiwa.

kwakujua kwamba yule mtoto amani yake iko established kwa wazazi wake, na wazazi wake ndo hivo tena nilijipa nafasi ya mimi kuwa ni mwanangu na nkaasume yale ambayo ningependa ayapate hata kama mimi siishi na huyu baba mzazi wa huyu mtoto.

nilimwomba mume wangu amchukue aje alelewe hapa, kwani nilijua kwamba no matter what watahitaj kuhudumiwa na baba yao na ni bora nimlee mimi kuliko na mtu baki ili akue na wadogo zake. sikuishia hapo nilifikiria upande wa pili wa shilingi. huyu mama aliyezalishwa akiwa form two inamaana maisha kwake ndo yako hapo,atapika pombe za kienyeji hadi lini? na je kwanini baba aliyehusika hakurudi kupika pombe yeye aliendelea na shule? nikagundua kwamba kosa ni maumbile tu kwamba kwakua baba habebi mimba basi yeye yuko salama no mata kazini na wanawake wangapi.

hapa napo nikazidi kuwasha ari ili mtoto akakombolewe kutoka kwa mama yake, aletwe niishi nae mimi ili mama sasa aweze kujipanga afanye kazi akomboke kwenye maisha ya dhiki. nilifanikiwa katika hili na alipokuja mama alikuwa huru kuendeleza maisha. Miaka 2 baadae mambo yangu yalipokuwa afadhali nilimpa mama wa huyu mtoto mtaji afanyebiashara na namshukuru sana Mungu hadi leo hii huyu dada ni rafiki yangu wa dhati na huwa ni msaada sana kwangu hata kifedha.

so kama mke wa huyu kaka atawaza kwa undaani zaid pasi kuangalia yale ambayo wengi wetu tumezoea kuyasikia hakika hili tatizo laweza kuwa dogo sana na likatumika kama njia ya kumletea baraka. si lazimishi afanye kama mimi ila natoa ushuhuda wa maisha ya tofauti ambayo niliyapitia na ambayo wengi walyawazia kinyume.

ila pia lazima binti aliyezalishwa aelezwe ukweli kwamba kuna mke halali wa ndoa na yeye ni mzazi tu hawez kuwa mke. na mkimsaidia ajitegemee kamwe hatakuwa burden kwenu ila mkimtenga atawapa shida sana.
 
Last edited by a moderator:
Mungu aepushie mbali. Najaribu kupiga picha camera imegoma kabisa. Subiri wenye watoto wa nje wanaweza kuwa washauri wazuri. Maana kuijua ngoma mpaka uingie ucheze. Pole sana.

'Mtoto wa nje' ndo kitu gani? I hate this neno,kwangu mtoto ni mtoto na ninao kibao na nawapenda wanangu wote na kuwatunza.
Mtoa mada sikiliza bana,huyo mkeo asikutishe na wala huna sababu y a kuogopa kihivyo. Ulichokifanya ni jambo la kawaida sana na asilimia kubwa ya wanaume tumepitia huko.La kufanya:
A) Face the girls parents. Mchukue nduguyo unayemwamini mwende kwa wazazi wake, weza kwenda na baba,mama,kaka,mjomba does'nt matter,nyie nendeni,mtalipishwa faini itakuwa imetoka hiyo.
B) Tafuta ndugu upande wa mke ambaye mkeo anamweshimu sana,mpasulie ukweli kuwa umezaa na huyo mdada,mwombe akuite wewe na mkeo na kwenye kikao yeye ndo atamke yeye na sio wewe kisha mama watoto akikuhoji jibu 'ndiyo' halafu usiongee sana,be cool,akipandisha just stay quite ila akijitia kurusha ngumi mtandike maana si ruksa akunyanyulie mkono hata kama una kosa.
Katika hili aki pack na kuondoka kamwe usimfuate,its up to her kuamua kurudi au kuacha,nakuhakikishia atarudi,hujaua mtu aslan.
Always remember waume wa kwelituko wachache sana hapa mjini na hakuna mwanamme anaachwa siku hizi.
Najua it sounds arrogant ila ukweli i am advising by drawing on my deep experience ya ku deal na mama zetu hawa.
 
Mkuu Bishanga unatisha kama Drogba.Ngoja watetea usawa wa kina mama watie mguu ndani ya uzi huu watakushukia kama mwewe anavyowashukia vifaranga wa kuku.

You put it as i put!
Cha kuongezea ni kwamba jamaa asitegemee mkewe atamlegezea..yaan akaze tu!!
 
Ivi zana hizi bado **** mwanamke anaweza vumilia upuuzi huu???

Walah kweli tumetofautiana!!!
ebu jaribu kujiweka kwenye nafasi ya huyo mama alafu ufanyiwe ivyo kama unavyoshauri.

mwanaume wa ukweli si kuwa arrogant but huonyesha upendo na heshima kwa mke na familia.

Hantishi mtu hapa jamvini,naongea kutokana na uzoefu,hawa wanawake baba yao mmoja mama yao mmoja,you know one you know all.
 
You put it as i put!
Cha kuongezea ni kwamba jamaa asitegemee mkewe atamlegezea..yaan akaze tu!!

Dawa yao hawa ni hiyo tu,hata ukiharibu mtoto wa kiume gangamara,hawana pakwenda hawa,kwanza waoaji wako wapi in the first place,halafu watoto amwachie nani?
 
Ivi zana hizi bado **** mwanamke anaweza vumilia upuuzi huu???

Walah kweli tumetofautiana!!!
ebu jaribu kujiweka kwenye nafasi ya huyo mama alafu ufanyiwe ivyo kama unavyoshauri.

mwanaume wa ukweli si kuwa arrogant but huonyesha upendo na heshima kwa mke na familia.
Upendo na heshima ipi unaongelea hapa? Mtoa mada kakiri ameshaharibu ,hapa tuko kwenye damage limitation exercise.
 
Dawa yao hawa ni hiyo tu,hata ukiharibu mtoto wa kiume gangamara,hawana pakwenda hawa,kwanza waoaji wako wapi in the first place,halafu watoto amwachie nani?

By no means hapa hata tukimshaurije..mkewe atammind tu mshkaji!
There is no way possible naiona kwa jamaa, kama ataamua kuwa 'humble' 100%
Ni kweli kateleza..but asilegee kiasi cha kuonekana kafanya dhambi ya kuua
Kilchofanyika hapa ni uzinzi tu kama mwingine wowote..sema watoto mapacha ndio wanawatoa roho watu Bishanga to some extent i concur with you..mtoto wa kiume agangamale!!!
 
Last edited by a moderator:
dah pole sana mkubwa.cha msingi ni kua na roho ya kutokata tamaa kua hili tatizo haliwezi kuwa solved.kwanza kabisa amini kua you can solve it,then chukua hatua ya kuongea na mke wako taratibu hadi atakapo kuelewa na hakika ataelewa na kukusamehe.Baada ya hapo usifanye kosa lingine la kuwatelekeza wale watoto,ni bora ndoa yako ivunjike endapo mke wako hatakusamehe lakini usiwatelekeze wale watoto hata siku moja, kwani wao hawana makosa kabisa na walizaliwa kwa sababu na anaye jua hiyo sababu ni Mungu pekee.kwanza jiulize kabla hujao,ulifikilia kua siku moja utaenda kufanya kazi hapo kijijini?Na je ulijua kama ungekutana na huyo msichana?na je ulijua kua ungemmimba?kama uko na majibu ya hayo mawali its ok! na kama hauna,basi don't regret 4wat has already happened.Think wat z right and then do wat ur heart tells u that is rit.
 
Dawa yao hawa ni hiyo tu,hata ukiharibu mtoto wa kiume gangamara,hawana pakwenda hawa,kwanza waoaji wako wapi in the first place,halafu watoto amwachie nani?

iyo ya hawana pa kwenda imepitwa na wakati sana, especially unapoleta madharau kama hayo. Kuna wanawake wengi tu wanaweza kujitegemea, na wengine ndio bread winners, unasemaje hapo.
 
...Ebwana Mkuu mie sina experience ya ''KUIBIA'', ila najua jinsi gani nisivopenda na ninavoumia hata nikiwaza naibiwa,nakuwa najawa na EXTREME MEASURES AGAINST muibaji na aliyeniibia,sasa sipati picha ikitokea kweli ntaumiaje,hivyo basi siwezi kuwasemea walioibiwa au WIFE ULIYEMCHEAT,achilia mbali watoto wako ULIOWAUMIZA/KUWAAIBISHA PIA,sabu hata mie nikiskia mmoja kati ya wazazi wangu kafanya ulivofanya,kiukweli ni FEDHEHA NA AIBU TUPU,sasa basi sina mengi ya kukushauri ila tu ni kwamba;
1)Kuwa na watoto wawili ina maana ushakaa na Mkeo vya kutosha kiasi cha kujua ni nini KINACHOMUUDHI/ASICHOPENDA kupita kawaida katika LOVE LIFE yenu,pia unajua jinsi gani ya kumtuliza akiwa na HASIRA za kutosha,as well as how TO APROACH HER wiz difficulty matters and confusing ones till U make Her understand,hata kama kufikia hapo mtakuwa mmegombana na kukarikiana kaisi gani,i.e NI BETTER UMWAMBIE,ILA TAFUTA BEST APROACH,PRESENTATION NA TIMING,if She loves U She wil make it sruu wiz U even if it takes years.

2)Kubali kukabili na kupokea kila panishment itakayowekwa mbele yako frm ur wife,kuwa mdogo Mkuu for ur own benefit and respect.

3)Nikija upande wa hao TWINS ambao ni copy yako,am sure hakuna ki2watakuwa wanasubiri so much in their life kama kumjua/kumwona Baba,they are urz,so give them what they deserve,''A FATHER/DADY/PAPA/BABA AND NOT JUST BEING A PARENT2ZEM''..,kuna tofauti kubwa sana kati ya BABA/MAMA NA MZAZI/WAZAZI,mtu yeyote anaweza kuwa MZAZI ila si wote wanaweza kuwa BABA/MAMA.

Maisha hayatbiriki,siwezi kukulaumu wala kukushutumu,ila najua kuwa DUIN A TERRIBLE THING DOES NOT MAKE SOMEBODY A BAD PERSON,so SWING LOW and go4ur kidz,tel zem zat ''AM COMING4U2CARRY U HOOOOM,SWEEET HOM,COMING4U2GET U HOOOM...''
 
Back
Top Bottom