Najuta kupangwa Tanga Jiji

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,649
6,832
Nimefika kuripoti hapa Tanga Jiji kulingana na post yangu ya ualimu inavyonielekeza, lakini mpaka muda huu hakuna anayetujali iwe Afisa Elimu wala Mkurugenzi, wao jibu ni moja tu hakuna pesa,wadau mi nimetoka Bunda kitu ambacho naona sio fear ukilinganisha na ahadi za serikali hii kwa kumtumia K majaliwa, naombeni maelekezo ili wahusika wapate/wasikie kdg kilio chetu
 
pole mwalimu mwenzangu, jambo la msingi hapo ni kuweka mshikamano wa pamoja (solidality), kwa walimu wote mlio'report hapo Tanga jiji, pazeni sauti kwa kuushinikiza uongozi wa jiji uwapatie haki zenu... naamini haki yenu itapatikana.
 
SOLIDARITY FOR REVER kaka, hapo itabidi mtafutane mlianzishe. Kuna uwanja hapo unaitwa Uhuru Park Garden, hapo ndipo movement zinapofanyika.
 
Nakushauri nenda kamuone Mkuu wa wilaya.
Faiza dadangu utakonda bure kufanya kazi za waliolala ushauri wako pengine ungeutumia kwa wanao ili wafanye vizuri darasani. Hii ccm hii faiza ni zaidi ya uijuavyo utatenguka shingo bure kushupalia kuficha maovu yao huku wenyewe hata hawajali chochote. Faiza how long will you go on grieving over them?think twice
 
ki ukweli ni hawajakosea inabidi urudi nyumbani pindi utakapotoka kwenye payroll ndo urudi kazini mana bila hivo utakufa na njaa ka ni pesa za kujikimu utazikuta ukirudi.
 
Nimefika kuripoti hapa Tanga Jiji kulingana na post yangu ya ualimu inavyonielekeza,
lakini mpaka muda huu hakuna anayetujali iwe Afisa Elimu wala Mkurugenzi,
wao jibu ni moja tu hakuna pesa,
wadau mi nimetoka Bunda vijijin kwa nauli kidogo ya kukopa na sasa nko hoi kiuchumi,
zaidi wananishauri kurudi nyumbani,
kitu ambacho naona sio fear ukilinganisha na ahadi za serikali hii kwa kumtumia K majaliwa,
naombeni maelekezo ili wahusika wapate/wasikie kdg kilio chetu

kama waajiri wamekushauri urudi nyumbani wewe rudi tu malipo yakiwa tayari utarudi tena kazini. Cha muhimu wakuhakikishie usalama wa ajira yako utapo rudi kijijini
 
ki ukweli ni hawajakosea inabidi urudi nyumbani pindi utakapotoka kwenye payroll ndo urudi kazini mana bila hivo utakufa na njaa ka ni pesa za kujikimu utazikuta ukirudi.
 
ki ukweli ni hawajakosea inabidi urudi nyumbani pindi utakapotoka kwenye payroll ndo urudi kazini mana bila hivo utakufa na njaa ka ni pesa za kujikimu utazikuta ukirudi.

Kwani huko nyumbani atakula nini sasa?
Kinachotakiwa ni aingizwe kwenye payrol mapema.
Mana hata wakichelewa kumlipa, kuja kumpa arrears zake watamsumbua sana.
 
Nimefika kuripoti hapa Tanga Jiji kulingana na post yangu ya ualimu inavyonielekeza,
lakini mpaka muda huu hakuna anayetujali iwe Afisa Elimu wala Mkurugenzi,
wao jibu ni moja tu hakuna pesa,
wadau mi nimetoka Bunda vijijin kwa nauli kidogo ya kukopa na sasa nko hoi kiuchumi,
zaidi wananishauri kurudi nyumbani,
kitu ambacho naona sio fear ukilinganisha na ahadi za serikali hii kwa kumtumia K majaliwa,
naombeni maelekezo ili wahusika wapate/wasikie kdg kilio chetu

hivi si ndio wewe ulisema unaenda kulipoti DAR?
Niko kwenye basi toka Bunda kwenda kuripti DSM -Temeke, nilikopangwa post yangu ya ajira ya ualimu,
lakini nimewasiliana na wenzangu watatu ambao washaripoti mmoja yuko temeke kaambiwa warudi j4 kwa kuwa mhusika hayupo,
mwingine yuko bariadi kapokelewa ila wameambiwa hela hakuna, na mwingine yuko manyoni kaambiwa hela hamna, yaani hapa niko kwenye basi najuta kwa nini naenda kuripoti maana sina salio na hali ndio hiyo
hapa ndipo ulipo sema hayo https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...alimu-wanaoripoti-ajira-mpya-hakuna-pesa.html

haya Mwl umepangiwa kotekote?
 
hivi si ndio wewe ulisema unaenda kulipoti DAR?
hapa ndipo ulipo sema hayo https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...alimu-wanaoripoti-ajira-mpya-hakuna-pesa.html

haya Mwl umepangiwa kotekote?

jamani samahani sana wana great thinker kwa heshima ya jukwaa hili naomba msinione kama si mtumiaji mzuri wa chombo hiki mhimu na chenye kutusaidia kwa mambo mengi mazuri, ukweli ni kwamba mi niko tanga jiji, isipokuwa kuna jamaangu ndio kapangwa temeke dar so siku naandika ile thread ya kuongelea mambo ya dar nilivaa uhusika wa jamaangu, so sorry nisameheni bure ndugu zangu na kwa pamoja tuendelee kutumia chombo hiki kwa manufaa ya jamii yetu.
 
jamani samahani sana wana great thinker kwa heshima ya jukwaa hili naomba msinione kama si mtumiaji mzuri wa chombo hiki mhimu na chenye kutusaidia kwa mambo mengi mazuri,
ukweli ni kwamba mi niko tanga jiji,
isipokuwa kuna jamaangu ndio kapangwa temeke dar so siku naandika ile thread ya kuongelea mambo ya dar nilivaa uhusika wa jamaangu,
so sorry nisameheni bure ndugu zangu na kwa pamoja tuendelee kutumia chombo hiki kwa manufaa ya jamii yetu,

ooh hii ndio JF!binafsi nimekuelewa sana na nakupa pole sana wewe na walimu wengine!daah yani mmesoma kwa taabu wengine ndio hivyo hata mikopo(bumu) ilikuwa shida huku vyuoni na mmesubir kwa hamu na muda mrefu hizo post zenu huku mkiahidiwa PESA mtazikuta eti walichelewa kuwapangiwa walikuwa wanasubiri pesa kumbe ni maneno matupu!

nimesikia baadhi ya halmashauri wamepewa wengine zote huku wengine nusu na wengine ndo hivyo tena wameambiwa wasubiri serikali hajituma pesa lakini kibaya zaidi ni baadhi ya ofisi za maafisa Elimu na wakurungenzi kutojipanga vizuri yaani hawajui km mmekaa nyumbani muda mrefu na mmepigika sana

Wapi Chama Cha Walimu?nadhani chama chenu kilitakiwa kiwe mstari wa mbele kumbuka jmaa wanaanza kukata ada ya uanachama hata km haujaamua yaani eti ukiwajiriwa tu aoutomatic unakuwa mwanachama wao na makato yanaanza so wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kuhakikisha hampati shida km baadhi waliipata!
 
ahsante mkuu ila kwa taarifa ni kwamba hapa tanga wako kwenye process ya kuanza kulipa kesho ila pesa waliyotumiwa toka TAMISEMI ni nusu ya hela yaani watalipa pesa ya kujikimu ya siku 3 badala 7,
so inasikitisha sana mtu unaanza maisha ya jiji kwa laki 2,
yaani upange chumba ununue kitanda na vitu vingine na ule hadi mwisho wa mwezi, hii si kumuweka ktk umaskin maisha yake yote
 
ooh hii ndio JF!binafsi nimekuelewa sana na nakupa pole sana wewe na walimu wengine!daah yani mmesoma kwa taabu wengine ndio hivyo hata mikopo(bumu) ilikuwa shida huku vyuoni na mmesubir kwa hamu na muda mrefu hizo post zenu huku mkiahidiwa PESA mtazikuta eti walichelewa kuwapangiwa walikuwa wanasubiri pesa kumbe ni maneno matupu!

nimesikia baadhi ya halmashauri wamepewa wengine zote huku wengine nusu na wengine ndo hivyo tena wameambiwa wasubiri serikali hajituma pesa lakini kibaya zaidi ni baadhi ya ofisi za maafisa Elimu na wakurungenzi kutojipanga vizuri yaani hawajui km mmekaa nyumbani muda mrefu na mmepigika sana

Wapi Chama Cha Walimu?nadhani chama chenu kilitakiwa kiwe mstari wa mbele kumbuka jmaa wanaanza kukata ada ya uanachama hata km haujaamua yaani eti ukiwajiriwa tu aoutomatic unakuwa mwanachama wao na makato yanaanza so wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kuhakikisha hampati shida km baadhi waliipata!

mkuu we ni noma
 
Anayemuingiza mwalimu kwenye payroll sio afisa elimu, bali ni hazina. Trust me, hata kwa waajiriwa wa mawizara yaliyopo dar it takes miezi hadi 3 to 6 kuanza kupata mshahara. Posho ya kujikimu ya siku 14 haiwezi kukuweka jijini. Fuata ushauri wa afisa elimu, maadamu umesharipoti nenda kijijini kalime ukivuna njoo uangalie ajira yako. Ndo serikali yenu hiyo, maisha tambarare!
Kwani huko nyumbani atakula nini sasa?
Kinachotakiwa ni aingizwe kwenye payrol mapema.
Mana hata wakichelewa kumlipa, kuja kumpa arrears zake watamsumbua sana.
 
jamani samahani sana wana great thinker kwa heshima ya jukwaa hili naomba msinione kama si mtumiaji mzuri wa chombo hiki mhimu na chenye kutusaidia kwa mambo mengi mazuri,
ukweli ni kwamba mi niko tanga jiji,
isipokuwa kuna jamaangu ndio kapangwa temeke dar so siku naandika ile thread ya kuongelea mambo ya dar nilivaa uhusika wa jamaangu,
so sorry nisameheni bure ndugu zangu na kwa pamoja tuendelee kutumia chombo hiki kwa manufaa ya jamii yetu,

umeumbuka!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom