oyayakaranga
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 678
- 394
Tafuta project za loitasa by prof Qorro udsm current serves as head of LL dpt,prof Bretn olso university na Dr. VUZO UDSM wanamajibu ya maswali yako mengi mwalmu
akili yako ya kuvukia barabara umeona hili tu. hivi unafikiri ukuu wa idara unasomewa? ww ni muwakilishi wa wajinga waliopo mtaani kwenuDuh, imagine huyu ndo mkuu wa idara!
Safi sana, you are a true linguistic.
kaka unayokwenye soft copy nipo nje ya DSM, au inapatikana kwenye library zote nchini?Tafuta project za loitasa by prof Qorro udsm current serves as head of LL dpt,prof Bretn olso university na Dr. VUZO UDSM wanamajibu ya maswali yako mengi mwalmu
tunaondokaje kwenye huu mkwamo, leta mapendekezo Mkuu.Lugha ya malkia ni janga kwa wahitimu wote wa zama hizi za elimu biashara si walimu peke yao, tofauti na enzi zileee watu wanaingia kwa matriculation vyuoni. Juzi nilikuwa natupia dissertation ya rafiki yangu ya shahada ya uzamili, nilitaka kuzimia. Lakini ana shahada ya uzamivu sasa tena kwa ufaulu wa juu tu.
Aisee sijui kama hizo project zipo ktk soft copy lakini ktk net kuna papers and articles ambazo nyingi ni za Dr. VUZO naona unaweza kudownpod lakini hivyo vitb sina uhakika ebu chekkaka unayokwenye soft copy nipo nje ya DSM, au inapatikana kwenye library zote nchini?
tunaondokaje kwenye huu mkwamo, leta mapendekezo Mkuu.Lugha ya malkia ni janga kwa wahitimu wote wa zama hizi za elimu biashara si walimu peke yao, tofauti na enzi zileee watu wanaingia kwa matriculation vyuoni. Juzi nilikuwa natupia dissertation ya rafiki yangu ya shahada ya uzamili, nilitaka kuzimia. Lakini ana shahada ya uzamivu sasa tena kwa ufaulu wa juu tu.
huwezi kuja na mpango ukafanikiwa labda uwe mtunga Sera na labda walimu wale ugeuke kuwa mentor wao,na uwe na nguvu ya kumuwajibisha ,vinginevyo sjui. Mkuu mwenyewe hajawahi ongea hata parade.Sasa mkuu ikiwa wewe ni kama mkuu wa idara ya kiingereza hapo shuleni - umechukua hatua gani za kurekebisha hili ? mfano waalimi wote hao umehakikisha wana shahada ya uwaalimu wa kiingereza kuwa lazima awe nayo ? la mwisho ni wewe kuandika report rasmi kwa mkuu wa shule kueleza maoni yako.
Your question is too large my linguist. But I think you mean phonology.For example:
What topic in linguistics annoys you the most?
If you are a linguist, that is an easy question.
Poor grammar.I usually doubt about the way our universities gives qualification to those who leaves their collage .Am sure for this fact we won't be competent in our East Africa community! Poor TZ Universities !!!
I merely knows that, you will never be happy because I under rates a people of your type! But this will remain to be a fact!!!Poor grammar.
"...universities gives..."
"...those who leaves..."
Poor grammar.I merely knows that, you will never be happy because I under rates a people of your type! But this will remain to be a fact!!!
Absolutely poor.Poor grammar.
"I merely knows that..."
"...I under rates a people..."
Mkuu kingereza sio lugha yangu!Siwezi kuwa sahihi kwa kila kitu! Kiswahili tu tunakosea sembuse kingereza!!Absolutely poor.
If you are a teacher, you're supposed to be competent in the subject you are teaching.
You have demonstrated here your inability to construct a simple English sentence correctly.
The students in your school have been short-changed by your incompetence.
I'm flabbergasted that you're Head of English department.
from few I know flexibility means to change according to the need of the current situation and circumstances and be creative involves manipulation of tactics,techniques and methodologies ,the use of teaching aids, to be more psychological etc to your learners. Anyway , let you train me ,what you could do these teachers?
What character are you refering to? Can you just call yourself stupid among others. A mere Tanzanian can not pretend better than he is simply arrogant, and i thnk you must be among of..with your silly mind you can call a teacher? I am really fucked with your little psychy
Acha kukatisha tamaa wenzio,wewe unaye jua sana umesaidia nini jamii na taifa letu km huyo Mwalimu aliyekosea.
wewe ni mwalimu mkongwe kwelikweli ama sivyo wewe ni mjuvi wa mambo haswaa...ulichokisema ndicho kilichopo ktk syllabus (nimekosa kisw chake)...kwani kuna mada kama vile speaking...listening....reading and writing....Huu uzi unaonyesha sehemu tu ya tatizo la elimu yetu. Siamini kufundisha masomo kwa lugha yoyote ile kutamfanya mtu awe mahiri katika lugha hiyo ikiwa ufundishaji hauzingatii kanuni. Kwa mfano, hata nchi nyingi za Ulaya kama Italia, Ufini, Ujerumani, nk. hufundisha elimu ya msingi kwa lugha zao na Kiingereza hufundishwa kama somo. Lakini tunashuhudia wengi ni mahiri katika lugha ya kiingereza.
Bahati nzuri au mbaya kiingereza ni muhimu na inatubidi tujifunze, hasa katika dunia ya sasa. Kwa sasa ninakushauri machache yafuatayo:
1. Lugha yoyote inabidi ujifunze kwa kusikiliza, kuongea, kusoma na kuandika. Himiza njia hizi zote
2. Jitahidi kuleta hamasa ya wao kujifunza na kulipenda somo. Kwa mfano, nyimbo ni namna nzuri ya kujifunza. unaweza ukatafuta nyimbo ukawaambie wazisikilize, waandike mashairi yake, wayasome na wayaimbe. Hapo umetumia njia zote nne na pia hutatumia nguvu nyingi.
3. Himiza usomaji na usimulizi wa vitabu. Unaweza ukaandaa michezo ya usomaji, usimulizi, utunzi, nk.
4. Wape majaribio ya matamshi, uandishi wa maneno, insha, nk. mara kwa mara.
5. Usichoke kuwahimiza waongee kiingereza, wapongeze hata wanapojaribu na kukosea; wakikosea kwenye kuongea au kuandika uwasahihishe kwa kuwapa mifano zaidi na wao watoe ya kwao pia.
Ualimu ni kazi ngumu ndugu yangu, na fahari yake kuu ni kushuhudia wanafunzi wako wakibadilika, wakifanikiwa zaidi na zaidi. Kila la kheri na usikate tamaa.