Najua mtanishambulia sana lakini wanawake kwa hili mnachangia mno kuiangamiza dunia!

Lizzy,
Kwa dunia ya sasa, naweza kuvaa kama zamani (kama ulivyoeleza) na kwenda kanisani???
Alafu mkuu zaman hizo ndo zilikuwa nguo bora zaidi na zili2mika ipasavo. Dada zangu hapa kuna ki2 cha kujadili, hata kama zisingehamshwa hisi hasi bado sioni sababu inayo mfanya mvaaji aache nguo inayomsitiri na kukimbilia kipis, obviously wanalenga kuharas hisia za watazamaji!
 
Thats an OPINION. To be exact My opinion.......................which im hoping that you do realize and are aware that, it requires NO authorization from any other "being" but ME!

Now that we have cleared out your misconceptions, i.e hopefully.........................I'd love to hear out your take regarding what I have said as a whole!!?
Well Nemo I dont believe that life is nothing but choices so I guess we are not on the same page
 
Sijasema watu wavae hivyo nimejaribu tu kuangalia point ya huyo ndugu kuhusu watu kubaka ndugu zao kisa mwili unaonekana! Maana kama ni kweli anachosema itakua hamna aliyesalia enzi hizo!!Tatizo kubwa ni watu kuvaa nguo zisizoendana na sehemu husika....tukiambizana vizuri wahusika watapata msukumo wa kubadilika!Ila tukiendelea kutupiana lawama kama wengi wanavyofanya hatutafika popote!Wanaume watasema wanawake ndo wasababishi wa matamanio yao ya ngono yaliyokithiri wakati wenyewe wanashindwa kujidhibiti!!Wanawake nao japo sio wote watasema wanavaa kwasababu ya wanaume.....Nani hapa atakubali kubadilika wakati anaona sie mwenye kosa???Punguzeni tamaa na kukodolea hao wavaaji macho kama hawatapoteza interest ya kuvaa hivyo!!

Hilo suala la mtu kubaka ndugu yake lina muingiliano na mambo mengine na wala sio kuvaa nguo za kuonyesha mwili pekee.
Linaweza kuwa na mchango mkubwa wa matatizo mengine kama ya akili, malezi mabaya n.k.

Nikirudi ktk maana ya post, bado napenda nisisitize kwamba uvaaji wa nidhamu lazima uzingatiwe.
Wewe unasema tupunguze tamaa, tusiwaangalie hao wanaovaa vinguo vya kubana na kuonyesha mwili, hivi hawa wanawake wa aina hii huwa tunawatafuta ili tuwaangalie au unaweza ukakutana nao popote????
Isitoshe sio kila mwanaume anaweza kujizuia na tamaa zinazotokana na uvaaji wa nusu uchi.

Mtu makini huwezi kufanya kitu unachojua wazi kwamba kitamletea matatizo.
Kama unaweza kuona night club ndio sehemu muafaka kuvaa kihuni basi vaa.
Ila maudhi utakayopata (hutatofautishwa na malaya au changudoa) yasiwe sababu ya kulalamika maana matatizo yake unayafahamu fika.
Kama harusini ndio sehemu ya kuvaa nusu uchi, vaa.

Ila pamoja na yote, mvaaji na aliyetamani wote wana matatizo sawa.
 
Well Nemo I dont believe that life is nothing but choices so I guess we are not on the same page

Da Womanizer:
Thats ok, but then again you are still stuck on that one sentence. Maybe I should ask you this, do you not believe that you as a man have a choice of whether or not to persue a girl? ...........If the answer is yes, then my case is rested if you think not, then pls advise why , and we will discuss this further?
 
Sipiyu huo mstari wa mwisho unastahiki thanks maana angalau inaonyesha unaona tatizo kwa vile lilivyo badala ya kulitumia kumlaumu fulani!!
 
Sipiyu huo mstari wa mwisho unastahiki thanks maana angalau inaonyesha unaona tatizo kwa vile lilivyo badala ya kulitumia kumlaumu fulani!!

Tatizo lipo pande zote, ila hapa nimeongelea upande wa mwanamke ambao ndio chanzo cha mtu kumuangalia na kumtamani kutokana na alivyovaa.
Tukipambana na chanzo tunaondoa uwezekano mkubwa wa tatizo kujirudia
 
au kuweka uwiano mzuri....na nyie wanaume muwe mnavaa nguo za kututamanisha na sisi.......hata sisi tunapenda kutamani jamani

Preta baada ya kuona thread kaamua abadilishe avatar yake kimakusudi kabisa ww Preta acha uchokozi ujue mm kaka yako ohooo!!!
 
Maadili kwa kweli yamepungua katika jamii yetu. Ni suala la kumuomba Mungu wanaume tusiangukie katika majaribu haya!
 
Maadili kwa kweli yamepungua katika jamii yetu. Ni suala la kumuomba Mungu wanaume tusiangukie katika majaribu haya!

Tumuombe Mungu pia awaonyeshe wanawake njia sahihi ya kusitiri miili yao
 
Tatizo lipo pande zote, ila hapa nimeongelea upande wa mwanamke ambao ndio chanzo cha mtu kumuangalia na kumtamani kutokana na alivyovaa.
Tukipambana na chanzo tunaondoa uwezekano mkubwa wa tatizo kujirudia
Na baadhi wanavaa kwasababu wanajua wanaume wanawakodolea macho.....wakikosa sababulabda watabadilika!!!
 
Alafu mkuu zaman hizo ndo zilikuwa nguo bora zaidi na zili2mika ipasavo. Dada zangu hapa kuna ki2 cha kujadili, hata kama zisingehamshwa hisi hasi bado sioni sababu inayo mfanya mvaaji aache nguo inayomsitiri na kukimbilia kipis, obviously wanalenga kuharas hisia za watazamaji!

Mkuu
Kila kitu kina zama zake
Zamani kulikuwa na sheria miongoni mwa wazungu kwamba ukiua mhindi mwekundu (ambaye ndie mwenye asili halisi ya Bara la Amerika ya Kaskazini yote) hukamatwi na wala huna kosa. Ilikuwa kama operesheni fulani ya kupunguza watu wa jamii hiyo ili wazungu waweze kuishi kwa amani Amerika. Sasa hivi si hivyo tena.
Zikijirudia tena zama za kuvaa nusu uchi au kukaa uchi kabisa basi tutaendana nazo, na naona wazi zitaendana na ubakaji kuwa kitu cha kawaida
 
Hongera uliyejariwa kuwa na uwezo wa kuamua utamani kipi na usitamani kipi. Ningekuwa hivyo ningemshukuru sana muumba.

Huko ni kujiendekeza kaka, inawezekana. Acha tamaa zinazoweza kushindwa utaishi maisha marahisi tu...siwatetei wadada/wanawake wasio na staha hata hivyo
 
mama yako ni mwanamke au mwanaume?
Kama ni mwanamke umesha wahi kumwambia hili?
Tofautisha wanawake wenye staha zao na machangudoa

Acha jazba na kutukana!!! jibu hoja au nawe wewe ni miongoni mwao wa kupiga jeki maziwa?
 
Na baadhi wanavaa kwasababu wanajua wanaume wanawakodolea macho.....wakikosa sababulabda watabadilika!!!

Kuwakodolea macho tu??!! Mbona ingekuwa si tatizo. Siku hizi wanatukanwa, wanatupiwa makopo au hata mawe, wanapigiwa kelele kila wanapokwenda, wanavuliwa nguo, wanapapaswa hadharani bila ridhaa zao na wanakosa watetezi wa papo kwa papo.
 
Sasa kama mtu anafanyiwa hayo yote na bado anaendelea hamuoni kwamba anapenda??mnataka aache kwaajili ya nani???Labda ndio raha yake....anaifurahisha nafsi yake badala ya kuvaa tofauti afurahishe zenu!!
 
Lizzy bana
Kuvaa kiheshima sio kufurahisha nafsi za wanaume
 
Mkuu
Kila kitu kina zama zake
Zamani kulikuwa na sheria miongoni mwa wazungu kwamba ukiua mhindi mwekundu (ambaye ndie mwenye asili halisi ya Bara la Amerika ya Kaskazini yote) hukamatwi na wala huna kosa. Ilikuwa kama operesheni fulani ya kupunguza watu wa jamii hiyo ili wazungu waweze kuishi kwa amani Amerika. Sasa hivi si hivyo tena.
Zikijirudia tena zama za kuvaa nusu uchi au kukaa uchi kabisa basi tutaendana nazo, na naona wazi zitaendana na ubakaji kuwa kitu cha kawaida
Mkuu pa1 na hawa wa2 kuharas hisia zetu, bado sisi wanaume tunajukumu la kuonesha hekima na busara zetu, tusiwe kama mnyama flan ambaye aonapo kichaka tu hubanwa na haja kubwa!
 
Lizzy bana
Kuvaa kiheshima sio kufurahisha nafsi za wanaume
Sasa kama mvaaji anapenda kimini ila akaacha kuvaa kwasababu wakaka hamtaki atakua anamfurahisha nani kama sio nyie???
 
Dumelambegu nakuunga mkono kwa asilimia 200. Wanawake sasa wamekubuhu. Kwa kweli kama ni suala la mavazi ninawaunga mkono sana waarabu. Nadhani ndiyo maana waliamua kuwadhibiti kiasi cha kufunika mpaka nyuso zao.

Jamani mbona hata wanaume tukivaaga suruali zetu Tukachomekea pale penye naniii huwa panaonyeshaga? mbona wao hawalalamiki? na je kama ungezaliwa enzi wazungu hawajaleta nguo hapa uswazi kwetu tz ungeishije? punguza tamaa mkuu. elekeza mawazo yako kwingine na si kwenye shanga. kwanza mimi kama mimi sipemdi na sgjawahi penda shanga mnisamehe.
 
Hivi unadhani kwa kuwa ni mamako akivaa nusu uchi watu hawamtamani huko mitaani??!!!!! Being your mom, sister or whatever has nothing to do with this topic........Toa hoja acha kulalama

Napenda nirudie tena, hakika wewe lazima uwe jiniasi.
 
Back
Top Bottom