Najua mtanishambulia sana lakini wanawake kwa hili mnachangia mno kuiangamiza dunia!

Hivi wewe unaijua saikolojia ya mwanaume linapokuja suala la ngono au unaongea ongea tu?? Kwa hiyo unataka kusema ni bora mtembee uchi kabisa manake si mnavuliwa nguo kwa macho????????????!!!!!!!!!
Hayo yakutembea bila nguo umeyasema wewe....!!Saikolojia ya mwanaume kuhusu ngono ikoje??Maana nnavyojua mimi kwa muda mfupi niliotumia kusoma saikolojia binadamu sio computer useme akishakua programmed ndio basi hawezi kufanya kilichopo nje ya program!!!Kutamani hamnyimwi ila sio lazima kila unaemtamani utembee nae...jifunzeni self -controll!!
 
Sio lazima useme, hoja zako ndivyo zinavyoonesha. Halafu unataka kuniambia hiyo saikolojia uliyosoma ndiyo inayosema kuwa kila mtu anaweza kujifunza self-control na kui-master. Kwa maneno kwa nini muwape adhabu isiyo ya lazima wale wasio na self control???!!!!!!!!!!!!
 
Kisichosemwa ni sawa na hakipo...usipende kumlazimishia mtu kile unachodhani/taka!!Nwy ndio uwezo kila mtu anao ishu ni kama anataka au la!!!Ndio maana wapo watu wanajiendekeza kwenye mambo mengi tu ila wakipata watu wakuwaelekeza ipasavyo na wenyewe wakawa na uhitaji wa kubadilika wanabadilika!!!Yote ni maamuzi!!
 
Ndiyo tatizo la watu wanaohamisha theory za vitabuni bila kuzifanyia uchambuzi wa kina. Siwapendi kweli watu wa namna hiyo. Mwanzoni nilikuwa nawalaumu sana wenzetu waislamu kwa kuweka sheria kali za mavazi lakini sasa kwa hali ilivyo mitaani nimeanza kushawishika kwa nini walifikia uamuzi huo.
 
Mkuu kwa namna ulivyoiweka ni kama vile waislamu walikaa kikao fulani na kufikia uamuzi huo lakini sivyo. Kwa mujibu wa uislamu ni mapokeo ya moja kwa moja kutoka kwa M'mungu. Nway ishu hapa ni kuwa haya mavazi ni kimeo sio kdogo.
 
Wadada humu ndani naomba muongee critically,msiwe bias,kukubali weakness haimaanishi uzembe ama wichever

hapa patamu na tujadili hoja iliyomezani tusifanye personal attack,kwanza ningeliweza bnafsi ningelishauri kuanzisha "Tume ya maadili ya uvaaji"siyo siri wanawake mmekithiri na kama ingelikuwa ni uchafu basi ningeliita 'kinyaa',kuna dada mmoja anasema wanaovaa hvyo ni ma CD,ana uhakika? kwenye biblia kuna mstari unawahasa wanawake kusitiri miili yenu kwani nyinyi ni mfano wa malaika,mmeuona?je mnauelewa??

Ndugu zangu wanaume,shetani alipitia kwa EVA kumhadaa ADAM,maana yake ni kwamba kupitia kwa mwanamke shetani atakuwa na uwezo wa kujidhihirisha na kuutesa ulimwengu huu,hata Bobby Marley alisema NO WOMAN NO CRY,wadada mnajua maana yake???

Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba vyakula vya leo vingi vinawafanya wanawake wawe na miemuko mara kwa mara na ndo maana hata maziwa yao leo yanaonekana kukua spontenously hali inayopelekea sexual hormones kcreate sexual desires moreover

niulize la mwisho,hivi mnadhani ni kwa nini hizi nguo zilikuwa na bado zinapigwa vita sana kanisani????

naisha hapo,naomba mnikosoe kwa hoja
 
Wakuu,

Kama kichwa cha thread kinavyosomeka, ni ukweli usiopingika kuwa mavazi ya wanawake yanachangia sana vitendo vya ngono. Sasa hivi limekuwa ni jambo la kawaida kuona akina dada mijini wakiwa na mavazi yanayoooneyesha waziwazi miili yao kama vile matiti, mapaja na sasa baadhi wameanza kuvaa nguo zinazoonyesha hata shanga viunoni. Hata bungeni sasa ugonjwa huo umebisha hodi na kukaribishwa kwa kishindo. Kuna picha kwenye Jukwaa la Jamii Photos inayoonyesha dada mmoja akiwa kwenye club moja huku makalio yote yakiwa nje kabisa.

Jamani akina dada chondechonde wanaume kama sisi madume ya mbegu mnatutesa jamani. Tutaangamia wenzenu. Hivi serikali haioni tatizo hili! Na tamwa je?

Mh hebu kuwa mkweli kwa nafsi yako ni mara ngapi unawaangalia mara mbili mbili wanawake wanaojisitiri?? Uwe wa kwanza kutoshabikia mavazi ya aina ulizotaja
 
Dumelambegu:
In this world, life is nothing but choices! Granted, "macho hayana pazia", but whether or not you persue the half naked lady and engage on hiyo ngono is a choice that you men consiously make!!!. So my friends unless you were raped this is nothing but a poor excuse to justify tamaa zenu and your weaknesses!
 
Kisichosemwa ni sawa na hakipo...usipende kumlazimishia mtu kile unachodhani/taka!!Nwy ndio uwezo kila mtu anao ishu ni kama anataka au la!!!Ndio maana wapo watu wanajiendekeza kwenye mambo mengi tu ila wakipata watu wakuwaelekeza ipasavyo na wenyewe wakawa na uhitaji wa kubadilika wanabadilika!!!Yote ni maamuzi!!
Nani anayekulazimishia???..........Hivi unajua ni kwa nini kuna tafsiri za sheria?? Anyway nadhani sio wewe ni tatizo la kimfumo zaidi.
 
Mh hebu kuwa mkweli kwa nafsi yako ni mara ngapi unawaangalia mara mbili mbili wanawake wanaojisitiri?? Uwe wa kwanza kutoshabikia mavazi ya aina ulizotaja
"Kujisitiri" unakokuzungumzia hapa ni kupi? Maana kila mtu ana tafsiri yake kulingana na sababu mbalimbali. Hata hivyo nitakujibu kwa namna ambayo ninadhani unamaanisha. Ni kwamba kwa upande wangu ni mara nyingi sana nimewaangalia mara mbili mbili wanawake "waliojisitiri" lakini pia ni mara nyingi sana nimewaangalia mara KUMI KUMI wanawake wanaovaa nusu uchi.
 
Dumelambegu:
In this world, life is nothing but choices! Granted, "macho hayana pazia", but whether or not you persue the half naked lady and engage on hiyo ngono is a choice that you men consiously make!!!. So my friends unless you were raped this is nothing but a poor excuse to justify tamaa zenu and your weaknesses!
On whose authority do you come to that conclusion in red.
 
sidhanin kama ni sahihi kusema "wanawake kwa hili mnachangia mno kuiangamiza dunia" nisehemu ndogo sana ya wanawake wanaofanya ivyo, kuhitimisha namna hiyo nafikiri tutakuwa tunakosea, take a breath, view it basing on ur mum, sisy, untie then scrutinize what u have written...... ooh no, no, kaka u r lost! the way i luv my mum, nikuona unasema wanawake wako ivo wakati my mum pia ni among wanawake... mmhh nahisi u r insulting my mum!
 
Hivi unadhani kwa kuwa ni mamako akivaa nusu uchi watu hawamtamani huko mitaani??!!!!! Being your mom, sister or whatever has nothing to do with this topic........Toa hoja acha kulalama
 
On whose authority do you come to that conclusion on red.

Thats an OPINION. To be exact My opinion.......................which im hoping that you do realize and are aware that, it requires NO authorization from any other "being" but ME!

Now that we have cleared out your misconceptions, i.e hopefully.........................I'd love to hear out your take regarding what I have said as a whole!!?
 
Na nyie wanaume mna mchango mkubwa kwenye mavazi yetu. Mfano mimi mume wangu anapenda sana nivae mini. Na hapendi kabisa nivae sketi ndefu. Sasa nifanyeje wakati mimi niko kumfurhaisha yeye. Ukiwa na mume kijana inabidi uende na wakati. Ila najitahidi kuvaa mini kama za Condoliza si zile za mapaja yote nje na ahachi kunisifia.
 
Dumelambegu:
In this world, life is nothing but choices! Granted, "macho hayana pazia", but whether or not you persue the half naked lady and engage on hiyo ngono is a choice that you men consiously make!!!. So my friends unless you were raped this is nothing but a poor excuse to justify tamaa zenu and your weaknesses!
Hawaki kusikia kwamba kuendekeza tamaa ni maamuzi yao.....wanataka watu wakuwalaumu tu!!
 
Back
Top Bottom