Najivunia kutoka jimbo linaloongozwa na mbunge wa upinzani

Niombeeni mwenzenu angalau 2015 sengerema iponywe tutoke kwenye milki ya magamba!kwasasa nipo MBY kwa sugu!nasikia raha!
 
Nimetoka Tbr magamba,niko Tanga magamba,home mbagala magamba.Motherland Masasi magamba du sijuwi nijinyoge mie

Niombeeni mwenzenu angalau 2015 sengerema iponywe tutoke kwenye milki ya magamba!kwasasa nipo MBY kwa sugu!nasikia raha!

ndio sasa muwe chachu ya mabadiliko......
mjitahidi kueneza elimu ya uraia......watu wengi huko wameikariri CCM hawajui hata kwa nini wanaichagua......
anzeni mapema kabla ya 2015......
 
Mimi mwenzenu nahitaji maombi yenu (nyumbani asilia)Sumbawanga Mjini - CCM tena kwa kuchakachua, (makazi) Dar Es Salaam - Segerea CCM tena kwa kuchakachua na kikazi Rorya CCM kwa pesa nahitaji mabadiliko ndugu zangu
 
Jamani mwenzenu hata sisemi nilimsikia siku ile anapishwa tu, na alishinda kwa kura kiduchu mno, jina lake lafanana na rais wa Marekani.
 
duh! Nipo moshi mjini ila kwetu moshi (v) huko upinzani ila wa mashaka hauna msimamo i know wengi mnajua why nasema hvyo!
 
Hai ninaye_FREMAN MBOWE, Kawe/GOIGI_HALIMA MDEE kote huku home huwa napata amani sana.
 
Back
Top Bottom