Elections 2010 Najiuliza

FarLeftist

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
363
20
Wanaokishutumu CHADEMA kuwa ni chama cha undugu, inawezekanaje kuweza kukubalika Tanzania nzima? mf. kwa tathmini yangu ni kwamba wananchi wameweza kuchagua wabunge kutoka Mashariki - Dar(Ubungo,Kawe etc), Magharibi - Kigoma, Kusini - Mbeya, Iringa, Kaskazini - Kilimanjaro, Arusha, Kanda ya Ziwa - Musoma, Mwanza na kwingineko kwingi, wadau mnalionaje hili?
 
Kama chama kinauwakilishi sehemu zote hizo manake hakiegemei kokote,halafu sisi siku zote huwa tunaangalia madaraka zaidi na kudandia mambo yaliyoko tayari tukiitana kupigania kitu toka mwanzo watu wanadodge,mkumbuke chama kilianzishwa na watu fulani wakakisapot kifedha na mambo mengine ndio unaona matunda yake leo,cha watanzania wote.Sasa badala ya kuwashukuru tunawatukana.Ndio mawazo yetu hayo,sasa kwa aina hiyo ya mawazo kweli tutayaona maendeleo?anayesema kuna ukabila auseme leo aainishe hapa.
 
Back
Top Bottom