Najiuliza hivi, lakini sipati jibu....! Dada zetu tusaidieni.

Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,533
263
Ni hivi;

  1. Kila uendapo, wanawake ni wengi kuliko wanaume, lakini kila mmoja akimpata mwanaume, hataki kushare na mwenzake, na wala hawezi kuishi na huyo mwanaume bila kumcheat....! Sasa je, kulikoni? Tukubali kuwa wanawake ni wachoyo na wakatili?
Kwa kweli........!:confused2::confused2::confused2::confused2:
 
Wapunguzie hayo maswali!!! waoneshe njia waanze na lipi? maswali ni mengi sana hayo!!.
 
Wapunguzie hayo maswali!!! waoneshe njia waanze na lipi? maswali ni mengi sana hayo!!.

kweli apunguze maswali...khaaaa!!!...mpaka mtu unashindwa kujua uanzie wapi.....lakini naweza kujibu swali moja....hakuna mtu anataka kushare hata siku moja....habari ndio hiyo
 
Ni hivi;

  1. Kila uendapo, wanawake ni wengi kuliko wanaume, lakini kila mmoja akimpata mwanaume, hataki kushare na mwenzake:confused2::eyeroll2:, na wala hawezi kuishi na huyo mwanaume bila kumcheat:angry::rolleyez:....! Sasa je, kulikoni? Tukubali kuwa wanawake ni wachoyo na wakatili:mad2::shocked:?
  2. Kwa mujibu wa desturi za kibinadamu, ukimkuta mkeo na mwanaume (hata usiyefahamiana naye kabisa, na wala hajui kama huyo mwanamke ana mwanaume) unapigana na huyo mwanaume :shocked::confused2:...! Je, tukubali kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu:angry::boxing: na kisicho na uwezo wa kujiamulia juu ya haya maswala?:embarrassed1:
  3. Katika historia ya makabila mengi sana, mwanaume alikuwa akitafutiwa mke na wazazi/walezi, kadhalika binti hutafutiwa mume na wazazi/walezi, tena bila kushirikishwa hata mmoja kati ya wanandoa, na bila kujali kama wamependana...! Tena wengine wakiwa wadogo kwa mujibu wa sheria (yaani chini ya miaka 18). Nakifikiri huenda ndio chanzo mojawapo kwenye usaliti ndani ya ndoa. Lakini kuna hizi ndoa za leo ambazo wanandoa hukutana wakiwa "adults"did u expect childrens to get married huh??????!!!, na kuamua kuchaguana wenyewe kwa hiari yao (mwanamke hujichagulia mumewe, na mwanaume hujichagulia mkewe). Sasa najiuliza, kulikoni? Mbona kila leo tunasikia matatizo haya ya kusalitiana kwenye ndoa, na hata ndoa hizi kuvunjika kwa urahisi kuliko zile za kale? Je, tukubali kuwa ndoa za kale zina mafunzo na malezi bora kuliko za kileo? Au binadamu wa sasa si waaminifu, na ni wakatili? Au sio wavumilivu?
Kwa kweli........!:confused2::confused2::confused2::confused2:

u think you are confused????, Am the one confused here:frusty:, what the hell is all this about!!!!!!!!! wanawake this wanawake that.... hee jamani mtuache. kama unadhani kuwa na mwanamke ni issue basi tafuta dume lenzako mbona nao wana fanya ngono na kufunga ndoa kama wengine tu!
 
Ni hivi;

  1. Kila uendapo, wanawake ni wengi kuliko wanaume, lakini kila mmoja akimpata mwanaume, hataki kushare na mwenzake, na wala hawezi kuishi na huyo mwanaume bila kumcheat....! Sasa je, kulikoni? Tukubali kuwa wanawake ni wachoyo na wakatili?
Kwa kweli........!:confused2::confused2::confused2::confused2:
uwiano wa wanawake kwa wanaume ni almost 1:1, kwa siyo kwamba labda jinsia moja ni wengi saaaaana kuliko nyingine
 
Ni hivi;

  1. Kila uendapo, wanawake ni wengi kuliko wanaume, lakini kila mmoja akimpata mwanaume, hataki kushare na mwenzake, na wala hawezi kuishi na huyo mwanaume bila kumcheat....! Sasa je, kulikoni? Tukubali kuwa wanawake ni wachoyo na wakatili?
Kwa kweli........!:confused2::confused2::confused2::confused2:
Kwenye Nyekungu...Sina uhakika sana kama wewe utafurahia kuwa na mwanamke atakayekuwa na roho nzuri ya kushare( sharing means you give and receive) Mara zote wanaume wamekuwa wakiongozwa na tamaa za mwili zaidi kuliko hata akili zao. Hivi wewe u mwema kiasi gani mpaka uone idadi ya wanawake kuwa kubwa basi uwe na wake badala ya mke?

Kumbuka kipimo unachompimia mwezako ndicho hicho hicho utakachopimiwa !!!
 
Ni hivi;

  1. Kila uendapo, wanawake ni wengi kuliko wanaume, lakini kila mmoja akimpata mwanaume, hataki kushare na mwenzake, na wala hawezi kuishi na huyo mwanaume bila kumcheat....! Sasa je, kulikoni? Tukubali kuwa wanawake ni wachoyo na wakatili?

Kwa kweli........!:confused2::confused2::confused2::confused2:

Jibu ni hili;

  1. Kila uendapo, wanaume ni wachache kuliko wanawake, lakini kila mmoja akimpata mwanamke, hataki kushare na mwenzake, na wala hawezi kuishi na huyo mwanamke bila kumcheat....! Hapo je, kulikoni? Tukubali kuwa wanaume ni mabaradhuri na wapenda ngono??
Ukistaajabu ya Musa....:confused2:
 
u think you are confused????, Am the one confused here:frusty:, what the hell is all this about!!!!!!!!! wanawake this wanawake that.... hee jamani mtuache. kama unadhani kuwa na mwanamke ni issue basi tafuta dume lenzako mbona nao wana fanya ngono na kufunga ndoa kama wengine tu!

Mbona unaponda badala ya kusaidia? Aidha, nashukuru
 
Back
Top Bottom