Elections 2010 NAJITOLEA kumfanyia rais WANGU KIKWETE kampeni ashinde tena URAIS

Nampenda sana rais wa nchi yangu prezdaaa Kikwete,hata kama watu wanamponda lakini mimi naona kuwa baba wa watu anajitahidi,hata Obama kuna aliyoahidi lkn bado hajatekeleza!
watu ni wavivu wakujitafutia maendeleo wanadhani rais akisema maisha bora kwa kila mtanzania basi atawagawia ugali wa bure kila siku,maisha bora ni pamoja na sisi wenyewe kumuunga na kumtia moyo rais wetu kwa kujituma kutafuta maendeleo yetu binafsi.
naombeni mnifundishe mbinu mbalimbali zakuwashawishi watanzania kumchagua tena PREZDAAA KIKWETE ashinde ktk uchaguzi ujao kwani nina imani kabisa yeye ndio kiongozi tunayemuhitaji!C.C.M hoyeeeee!
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
thank you!

Good wishes !! - mtashinda kwa kishindo wewe na jamaa yako usihofu.
 
Good wishes !! - mtashinda kwa kishindo wewe na jamaa yako usihofu.

Only if atawatosa mafisadi otherwise...ni ndoto hasa ukiangalia vacuum itakayojitokeza ndani ya CCM kwenyewe anaweza kupita kwa ushindi mwembamba sana na sio kama 2005 na endapo atalazimisha basi tuanze kujitayarisha na historia chafu ya uchaguzi kama wa Kenya:angry:
 
Only if atawatosa mafisadi otherwise...ni ndoto hasa ukiangalia vacuum itakayojitokeza ndani ya CCM kwenyewe anaweza kupita kwa ushindi mwembamba sana na sio kama 2005 na endapo atalazimisha basi tuanze kujitayarisha na historia chafu ya uchaguzi kama wa Kenya:angry:

labda siyo TZ ninayoijua mimi. He is a president; with or without kuwatosa mafisadi. Atachaguliwa tu
 
umetuomba tukusaidie mbinu za kuwashawishi wananchi..............moja wapo mshauri asikae muda mrefu nchini aende marekani na ulaya kuomba misaada nadhani wananchi wenye akili timamu wanajua jinsi misaada hii ya wakubwa inavotusaidiA........
hapo vp??????????????
 
mama hapa sipo tunahitaji mabadiriko sijaona mabadiriko mpaka sasa..Mheshimiwa hawezi kuamua maamuzi mazito ambayo yanaweza kuleta maendeleo ya nchi...kwangu NO
 
First term ni kupanda mlima..........second kushuka.....sijui itakuwaje......manake second terms za Mwinyi na Mkapa duh

Huna haja ya kuumiza kichwa kujiuliza, just wait and see. Usije ukakata tamaa ya kuishi bure kwa majibu utakayokuwa unajijibu
 
mama hapa sipo tunahitaji mabadiriko sijaona mabadiriko mpaka sasa..Mheshimiwa hawezi kuamua maamuzi mazito ambayo yanaweza kuleta maendeleo ya nchi...kwangu NO

Mamie, itabidi usifikirie kabisa kama mwaka huu ni wa uchaguzi (kama nilivyoamua kufanya mimi). maana utaumiza kichwa bureeee sababu he is a president whether we like or not.
 
Kwa jinsi ninavyowajua wananchi wa Tanzania, wala hamna haja ya kupiga kampeni saaaaana maana kwa kufanya hivyo itakuwa kama mnaua mbu kwa bunduki, atashinda tu labda kama mnatafuta ushindi wa kishindo.
 
Mamie, itabidi usifikirie kabisa kama mwaka huu ni wa uchaguzi (kama nilivyoamua kufanya mimi). maana utaumiza kichwa bureeee sababu he is a president whether we like or not.

Fixed Point nilishafanya maamuzi long ago Kikwete Kwangu ni Very big NO....
Noooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!hapana
 
Hongera sna ila naomba msitutoze vijisent tena mwaka huu pale uwanja wa ndege eti kuchangia kampeni!!!!!
 
Kwani unahitaji mbinu, nyie kaeni mnywe tu chai urais wake is granted whether we like it or not. Ila usjeshangaa manake watz nao ni watu waweza kuamka na kuwashangaza.

By the way, umeahidiwa ngapi za kupiga debe mimie???? au khanga na vitenge??
 
Mamie, itabidi usifikirie kabisa kama mwaka huu ni wa uchaguzi (kama nilivyoamua kufanya mimi). maana utaumiza kichwa bureeee sababu he is a president whether we like or not.

basi...........
maisha ya maendeleo kwa kurudi nyuma yaendeleee
 
Fixed Point nilishafanya maamuzi long ago Kikwete Kwangu ni Very big NO....
Noooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!hapana

Mimi nilimkataa kabla hajachanguliwa, ila huwezi kupinga maamuzi ya wengi. naamini waliomchagua hawajawa dissappointed (kama akina Cheusi) ndo maana wanaanza kampeni
 
wewe........baba kakuroga??????au ndo
kumuunga na kumtia moyo rais wetu kwa kujituma kutafuta maendeleo yetu binafsi.

maendeleo yenu binafsi??nyinyi watoto wa mama mdogo??watoto wa mtandao???
mm sitaki kuwa mnafiki,jamaa hatambui dhamana aliyobeba,namuona kama mgeni nyumbani kwetu,simpi tena mgeni kuiongoza nchi yetu!!!!!
 
jamani cheusi mangala ni FI**** sasa kwa nini asimwombee JK urais wa maisha, wakati yeye maisha bora kayapatia kwenye ngwe hii ya JK kiulaini?..........Amejitaja hapa mara nyingi kuwa ana mali kibao tena kapata akiwa binti kidosho mbichi kabisa hamjui mume wala mtoto anaingilia ulimwenguni kupitia njia gani!!! anataka kununua mtoto kama atapatikana anyeuzwa, .................kwa vile kasikia hawapo wa kunua, anatafakari kuasili (kuathiri?).... haya shauri yenu.......... ndivyo divide and rule invyofanya kazi...... mwenye shibe hamjui mwenye njaa na tena anamuona punguani kabisa............

sijui mtoa mada alikutana na zuzu gani lililokaa kusubiri maisha bora bila kufanya kazi analozungumzia...... hao wanaolipwa 104,000 nao watapata liku maisha bora ama nao hawafanyi kazi? na wanaolipwa 100,000-300,000 kwa siku ndio wanaofanya kazi pekee unaowajua?.......... mmhh, nasikia ka-harufu ka ufisadi............. eti ndio wapiga kura wa oktoba hawa!!!!!!!!!!...... ndugu yangu GS mna kazi sindogo mpendwa............
 
---jamani watu wa galilaya na yeriko hebu punguzeni hasira kidogo ili tuweze kuelewana.
najua kila mtu anataka mabadiliko ya kimaendeleo,sasa basi kabla hatujamkosoa rais wetu kuwa hatimizi wajibu wake, hebu tujitizame sisi wenyewe kwanza.
--chukulia mfano wa mtu x,mtu x ni mmoja wa watu wengi wenye hasira na rais kwa sbb aliwaahidi maisha bora na yeye mtu x anadai hayaoni hayo maisha bora aliyoahidiwa,sasa mtu x huyu kaajiriwa lkn 76% ya muda na akili yake yote anawekeza mtandaoni ambako anashinda akimchimbua rais wetu vibaya na kumtupia lawama nyingi.
mtu x amesahau kuwa na yeye ni FISADI sbb analipwa kwa masaa ambayo hajafanya kile alichokubaliana na mwajiri wake bali alishinda ofisini akiitumia internet ya muajiri wake kushinda online mtandaoni!
mtu x amesahau kwamba anachokifanya kushinda mtandaoni kinakwamisha maendeleo yake,ya kampuni yake na taifa kwa ujumla lkn yeye anajiona yuko safi sbb hana raia wanaomkodolea macho ndio maana yuko mstari wa mbele kulalamikia wengine badala ya kuwajibika na kujituma ipasavyo!
hata ktk nchi tajiri,watu wanajituma na kuwajibika hata kwa kufanya kazi 3 ili waweze kulipa madeni ya nyumba nzuri na magari waliyokopa,lkn hawashindi mitandaoni kuanzia asubuhi wanapoingia maofisin na kushinda online 24/7 wakitegemea marais wao wawaletee maendeleo!
hata ktk nchi tajiri wapo ombaomba na masikini wasio na sehemu hata ya kulala,hawa ni sawa na mtu x,hata rais wetu akituletea maendeleo ya aina gani watu kama mtu x bado hawatayaona,maana mtu x yeye hajitumi anasubiri rais amtangazie magari na nyumba za bure zinagawiwa ndio akurupuke kutoka huko mitandaoni anakoshinda online akipiga soga akisubiri maisha bora toka kwa rais.
---hata kama rais hajatekeleza ahadi zake zote,bado haifanyi tum-disqualify,hata rome haikujengwa siku moja,maisha bora kupatikana ni jukumu la kila mtanzania,anza kwanza kujiletea maendeleo ktk serikali yako,onyesha mfano kuwa una machungu yakupata maendeleo,do something kujikomboa na kuwakomboa wengine kwa kuwapa ajira,sio tu ushabiki wa kisiasa kama ushabiki wa simba na yanga.
--mie sina imani na mtu mwingine zaidi ya JAKAYA MRISHO KIKWETE maana kama tu viongozi wa dini tunaotegemea watuongoze kufika peponi wanatusaliti kwa kubaka kunajisi na kudanganya waumini wao ili wawaibie in form of sadaka si hao wengine wanaojifanya wema leo ndio wataipeleka nchi yetu pabaya kabisa!'bora shetani umjuaye kuliko malaika usiyemjua'.
tumchagueni tena rais wetu KIKWETE ,tusiwachague watu wanaojifanya wema leo hawana nia njema na nchi yetu!
mtu x ataendelea kulalamika akisubiri wali wa mchuzi kutoka kwa rais badala ya kujituma,akishituka atakuta wenzie tuko mbali tukifaidi maisha bora tuliyojitafutia wenyewe pamoja na rais wetu!
C.C.M IKO JUUUUUU
KIDUMU CHAMA CHETU CHA MAPINDUZI!
 
Kama mambo yenyewe ni haya bora ningezaliwa miaka ya zamani, ambapo hekima iliangaliwa ili mtu apewe uongozi. Zama hizi mazezeta ndio wanatahitajika ili waburuzwe!!
Nani anamiliki nchi hii? Kama ni wananchi, basi tupate hasira wote tuung'oe huu udhalimu.
 
Hata mimi nampa big up our prezidah kwani ni hodari sana na hata mungu alisema jisaidie nami nitakusaidia sio kwa vile maisha bora kwa kila mtanzania ndo tujibweteke. haipendeziiiii

hii si kauli ya mungu, labda mganga wa kienyeji, Biblia mwanzo Mwisho hakuna andiko hilo, may be Qurani
kwa kuwa siijui sana
 
Back
Top Bottom