Najitambulisha: Alex

ebwana dah!!! upo mtu wangu? karibu sana ndani ya nyumba ya forum. mi mwana BBA. nntakufahamisha zaidi
 
ebwana dah!!! upo mtu wangu? karibu sana ndani ya nyumba ya forum. mi mwana BBA. nntakufahamisha zaidi

Du white ujio wako ni wa ki transparent sana...nitakudodosa kwa mobitel uniambie huyo mziwanda kakujulisha nini..LOL
Karibu jisikie upo nyumbani
 
huyu nairo kweli ni transparent ndio maana nikamjua. labda hata ww ungetumia jina lako ningeweza kukujua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom