......najitahidi nimsahau lakini nashindwa......nifanyeje?

mymy

JF-Expert Member
Dec 22, 2011
296
110
hello wadau wa jf....nashukuru sana kwa mawazo yenu nyote. sasa mimi nimeamua to keep distance na yule kaka coz naona kama nakua namsumbua pale ninapompigia simu au kumtext sms. lakini tatizo ni kuwa najitahidi kutaka kumtoa/kumsahau akilini mwangu lakini najikuta nagonga mwamba. nimeamua kudelete namba yake labda itanisaidia katika plan yangu. ushauri tafadhali wa aina yoyote unapokelewa, nifanyeje nimtoe akilini mwangu....? mapenzi kweli yanaweza kumfanya mtu akawa mwehu.....nimeamini.
 
Jishughulishe na kazi zako tumia mda mwingi kumuomba mungu akupe mwenye kheir na wewe...
 
aisee kwanza bora kwa kumuacha kumbe mtu akiukubali ushauri mzuri inatia moyo kuendelea kumshauri tena. nja ya kumtoa akilini ni ndogo sana tafuta kitu mbadala wa yeye ila siyo mtu. like tafuta kazi ya kufanya ikueke bize for some days utaona ni siku ya kwanza tu ndo shida ila the rest inakuja automatic wala hutatumia msuli kumtoa akilini. jibidiishe katika ishu tofauti ila zisizokuwa za mapenzi kwasasa.
 
umedelete kwenye simu au kwenye akili ..?
kuna mazingira mengi ya kumsahau la kwanza ni utayari wewe unaonesha bado hauko tayari kumsahau huyo jamaa pamoja na yote hayo
kama unamuona mara kwa mara ni itakuwa ngumu kuwa kumsahau ila utamsahau tu kwa kuwa sasa umeamua kumsahau
jambo jingine ni wewe mwenyewe kujipa kutafuta mbadala kwa maana ya kuwa karibu na watu watakao weza kukampani epuka upweke ...
ipunguze thamani yake taratibu ili mambo mengine yaendelea asiwe yeye ndio priority
YANA MWISHO UKIAMUA
 
Jishughulishe na kazi zako tumia mda mwingi kumuomba mungu akupe mwenye kheir na wewe...

....asante sana promiseme.....inshaallah nitajitahidi kufuata ushauri wako...nashukuru sana.
 
aisee kwanza bora kwa kumuacha kumbe mtu akiukubali ushauri mzuri inatia moyo kuendelea kumshauri tena. nja ya kumtoa akilini ni ndogo sana tafuta kitu mbadala wa yeye ila siyo mtu. like tafuta kazi ya kufanya ikueke bize for some days utaona ni siku ya kwanza tu ndo shida ila the rest inakuja automatic wala hutatumia msuli kumtoa akilini. jibidiishe katika ishu tofauti ila zisizokuwa za mapenzi kwasasa.
........asante gfsonwin.....najua mwanzo itaniwia vigumu lkn i have to. coz nimeumia sana naona time imefika ya kutake actions...thanx once again
 
Kuwa karibu na marafiki wako wa siku nyingi na usipende kukaa mwenyewe kwani ndo chanzo cha mawazo
 
........asante gfsonwin.....najua mwanzo itaniwia vigumu lkn i have to. coz nimeumia sana naona time imefika ya kutake actions...thanx once again

huo mwanzo ukitaka uwe mgumu utakuwa mgumu kweli kweli aisee! hivi what are your hobbies? kama waona tabu kuzieka hapa ni pm and then i will tell you something about them ambacho kitaku entertain mara moja kama vile umewasha soketi ya umeme.
 
...aiseee maganga mkweli ni kweli upande mmoja wa moyo unasema niendelee kujipa hope labda atarudi lakini upande mwingine unaniambia niendelee na life yangu. kuonana hatuonani mara kwa mara, tupo mikoa tofauti. ila kutokana na mateso ya moyo wacha tu niendelee na maisha yangu....by the way i lke hiyo quote yako naona niiapply tu.....like nothing happened...n life goes on...!!
 
delete hiyo namba, keep yourself busy find new hobby. Kuchua muda kuwa na marafiki...utamsahau!
 
Pole mymy hata mimi niliwahi kupata hali kama hiyo.... hebu jaribu kukumbuka mabaya ambayo aliwahi kukufanyia halafu utamsahau tu. kama unapenda gospel songs sikiliza soma vitabu ila usisikilize nyimbo za mapenzi sana. kila la heri
 
Last edited by a moderator:
...aiseee maganga mkweli ni kweli upande mmoja wa moyo unasema niendelee kujipa hope labda atarudi lakini upande mwingine unaniambia niendelee na life yangu. kuonana hatuonani mara kwa mara, tupo mikoa tofauti. ila kutokana na mateso ya moyo wacha tu niendelee na maisha yangu....by the way i lke hiyo quote yako naona niiapply tu.....like nothing happened...n life goes on...!!
tehe tehe mimi ni mhanga wa hayo mambo najua jinsi inavyoumiza mwanzoni hasa ukipenda sanaa jambo la msingi kuamua tena kukubali kupingana na ukweli ni hayo tu..
 
Pole mymy hata mimi niliwahi kupata hali kama hiyo.... hebu jaribu kukumbuka mabaya ambayo aliwahi kukufanyia halafu utamsahau tu. kama unapenda gospel songs sikiliza soma vitabu ila usisikilize nyimbo za mapenzi sana. kila la heri
.....aiseee.....unajua mtu unapokumbwa na tatizo unahisi kama you are alone in a lost world....kumbe wapo pia waliokumbwa na tatizo lako. ilikua vizuri nilivo funguka.....asante jf...!!! thanx Nyakwaratony for ur advice....wabeja..!!!
 
...aiseee maganga mkweli ni kweli upande mmoja wa moyo unasema niendelee kujipa hope labda atarudi lakini upande mwingine unaniambia niendelee na life yangu. kuonana hatuonani mara kwa mara, tupo mikoa tofauti. ila kutokana na mateso ya moyo wacha tu niendelee na maisha yangu....by the way i lke hiyo quote yako naona niiapply tu.....like nothing happened...n life goes on...!!

Usisikilize moyo kwani moyo hudanganya.Ifuate akili yako!
 
Time will heal you. Get a life, badilisha kazi upate ngumu na challenging zaidi. New hobbies, change wardrobe and gain ur confidence back. Ungeweza kutumia nguvu zote kujipenda. Ukishindwa kabisa hebu jiongeze, nenda shule. Huko lazma upate mchuchu mpya wa maana,lol
 
muda utakavyokuwa unaenda na machungu pia yanaisha taratibu ila muda utaenda haraka na kusahau haraka kama utatafuta kitu cha kukukip bize.
 
Time will heal you. Get a life, badilisha kazi upate ngumu na challenging zaidi. New hobbies, change wardrobe and gain ur confidence back. Ungeweza kutumia nguvu zote kujipenda. Ukishindwa kabisa hebu jiongeze, nenda shule. Huko lazma upate mchuchu mpya wa maana,lol

.....hahahaaaaa.....!! thnx King'asti....thank god soon naenda shule i know will be busy kuliko maelezo....
 
Si bora yako wewe kumbe namba yake ilikuwa kwenye simu tu?? mie iliwahi kunisumbua sana maana namba ya simu ilikuwa kichwani, nikiifuta kwenye simu bado ninayo kumkichwa yaani wewe acha tu. Niliumia, niliteseaka nae kama miaka mitatu hivi. Ila kwa sasa namshukuru Mungu maana nilipata mbadala wake. hiyo hali ainisumbui tena ndo kabisaaa najiona kama nilikuwa nataka kupotea tu. Jipe moyo dada utashinda.
 
Pole sana ila hiyo hali itatoweka soon kwani kwa sasa umeshaweza kumsahau ila kinachokutesa ni yale mazoea kati yako na yeye. Ushauri wangu kuwa na muda mwingi wa kuangalia mwelekeo wa maisha yako kwa sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom