Najiandikia Barua

Mtanzanika

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,389
1,131
Mgonjwa wa akili alikuwa hospitali anaandika barua.Daktari akamuuliza "unamuandikia nani barua?"
Chizi akajibu "Najiandikia mwenyewe."

Daktari akaanza kucheka na kumwambia "Haya nieleze barua inasema nini?"
Chizi akajibu "Nitakuelezea vipi na barua yenyewe bado haijanifikia!"
 
Back
Top Bottom