Najiandaa KULIKOMBOA Jimbo la Uchaguzi la Kindondoni 2015

MwanaHaki

R I P
Oct 17, 2006
2,401
705
Napenda kutoa taarifa rasmi kwamba nimeanza mchakato wa KULIKOMBOA Jimbo la Uchaguzi la Kinondoni mwaka 2015. Hii inatokana na ukweli kwamba, Jimbo la Kinondoni ni mojawapo ya majimbo ambayo ni LULU na HAZINA ya Tanzania, lakini yanayoongoza kwa mambo mengi mabaya na machafu, tena mengi yasiyofaa hata kutajwa hadharani.

Tutalikomboa Jimbo la Kinondoni hata kambla ya 2015, na utakapofika mwaka huo, kampeni itakuwa ni MTEREMKO tu!

Mwenye masikio asikie, mwenye macho akae mkao wa kutazama, mwenye mikono na akili zake ajiandae kushiriki katika kuigeuza Kinondoni kuwa ZAIDI ya New York, Tokyo, Paris NA Geneva!

Mmeshaambiwa!

-> Mwana wa Haki
 
Mbona nami nilikwisha jitosa katika mapambano hayo.
 
hata wa sasa anaweza aka:rip: then ukachukuwa b4 that bwana.... we jidhatiti tu ila kama ni kutoka CCM lazima uanze kuwa kibaraka wa mafisadi, kama ni Chadema usisahau kunuweka kwenye kamati ya kampeni lol, sitakudai hata senti:bowl:
 
Napenda kutoa taarifa rasmi kwamba nimeanza mchakato wa KULIKOMBOA Jimbo la Uchaguzi la Kinondoni mwaka 2015. Hii inatokana na ukweli kwamba, Jimbo la Kinondoni ni mojawapo ya majimbo ambayo ni LULU na HAZINA ya Tanzania, lakini yanayoongoza kwa mambo mengi mabaya na machafu, tena mengi yasiyofaa hata kutajwa hadharani.

Tutalikomboa Jimbo la Kinondoni hata kambla ya 2015, na utakapofika mwaka huo, kampeni itakuwa ni MTEREMKO tu!

Mwenye masikio asikie, mwenye macho akae mkao wa kutazama, mwenye mikono na akili zake ajiandae kushiriki katika kuigeuza Kinondoni kuwa ZAIDI ya New York, Tokyo, Paris NA Geneva!

Mmeshaambiwa!

-> Mwana wa Haki

Kupitia chama gani? Usitusahau sisi wanaJF. Hata mie nilitangaza kugombea Babati Mjini 2015, kesho yake nilipokea simu ya dada Paulina wa CHADEMA kuniomba nikatafute jimbo lingine kwakuwa yeye alishaanza maandalizi kule Babati.
 
Unacheza wewe, unadhani kuchukuwa jimbo kazi rahisi? hutakiwi kusema nyamaza fanya mambo halafu ndo utangaze kwasababu hata hao waliko madarakani wanpenda kuendelea hivyo usidhani nao wajinga ati!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kupitia CHADEMA. Kwani kuna chama kingine zaidi ya hicho?
 
Unacheza wewe, unadhani kuchukuwa jimbo kazi rahisi? hutakiwi kusema nyamaza fanya mambo halafu ndo utangaze kwasababu hata hao waliko madarakani wanpenda kuendelea hivyo usidhani nao wajinga ati!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kutangaza nia si sawa na kuweka wazi mikakati yako. LAZIMA TULIKOMBOE JIMBO hili! Mafisadi tutawapiga chini tu! Au unaogopa? Mimi namwogopa Mungu tu! Binadam hanitishi! Na HAKUNA mwenye HAKIMILIKI na Jimbo lolote lile la uchaguzi hapa nchini! Tanzania ni MALI ya WATANZANIA WOTE! Wakisema mimi SIO RAIA nitajua ni janja yao tu! Nilizaliwa KCMC! Uraia wa KUZALIWA, na baba na mama wote ni Watanzania WA KUZALIWA!
 
Kupitia chama gani? Usitusahau sisi wanaJF. Hata mie nilitangaza kugombea Babati Mjini 2015, kesho yake nilipokea simu ya dada Paulina wa CHADEMA kuniomba nikatafute jimbo lingine kwakuwa yeye alishaanza maandalizi kule Babati.

Huyo Paulina HANA HAKI ya kukuambia uende kutafuta JIMBO LINGINE? Kwani Babati Mjini ni mali yake? Anacheza! Kutangulia si kufika. Hata kama alianza maandalizi mapema, HANA GUARANTEE ya kushinda, kwa kuwa HATA KESHO hakuna mwenye guarantee ya kuiona. Hiyo ni siri ya Mungu tu! Binadam tunasahau kwamba hata pumzi yetu si mali yetu; sekunde moja tu, inatosha, kwishney! Unarudi nyumbani kwa Baba! Wanakufa ambao hawajazaliwa, tumboni mwa mama zao, sembuse sisi? Paulina asikubabaishe. We jipange, gombea, ukiwa na sera nzuri na mipango mizuri, utashinda. Si umemwona kaka yetu Sugu? Wamemkubali! Na dada yetu Halima? Wamemkubali kwa sana!

Kazi kwako!
 
inawezekana kabisa kwani ukiangalia uchaguzi wa mwaka huu 2010 upinzani jimbo la Kinondoni umepata kura nyingi kuliko CCM. kwahiyo kinachotakiwa hivi sasa ni chadema kutumia serikali za halmashauri 10 walizonazo kuja na mipango na mikakati mizuri itakayoonyesha tofauti yao na CCM. watakuwa wamejitengenezea njia nzuri.
 
Ukichanganya CUF and Chadema votes kwenye 2010 election ya pale Kinondoni, basi ni wazi kabisa upinzani umepata nyingi zaidi ya CCM.

Ili upinzania ushinde sehemu nyingi ni lazima wakubali kusaidiana pale wanapo amini mmoja wao ana nguvu. Lakini kama tutashindana na CCM tukiwa mmoja mmoja, basi madhara yake ndio yale ya Jimbo la Ndugu/rafiki yangu Mwita Mwikwabe Waitara.
 
Unacheza wewe, unadhani kuchukuwa jimbo kazi rahisi? hutakiwi kusema nyamaza fanya mambo halafu ndo utangaze kwasababu hata hao waliko madarakani wanpenda kuendelea hivyo usidhani nao wajinga ati!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Nidhamu ya woga uliyonayo usifikiri kila mtu anayo, wengine hawajalelewa kwenye mifumo kandamizi, tunaamini kila kitu kinawezekana nia ya dhati tu ndio inayotakiwa, acha uoga wako, wewe wa wapi?
 
i like ur perspective and consistence on ur objective..
well goooo and we gonna be there cheereing for you:smile-big:
Kutangaza nia si sawa na kuweka wazi mikakati yako. LAZIMA TULIKOMBOE JIMBO hili! Mafisadi tutawapiga chini tu! Au unaogopa? Mimi namwogopa Mungu tu! Binadam hanitishi! Na HAKUNA mwenye HAKIMILIKI na Jimbo lolote lile la uchaguzi hapa nchini! Tanzania ni MALI ya WATANZANIA WOTE! Wakisema mimi SIO RAIA nitajua ni janja yao tu! Nilizaliwa KCMC! Uraia wa KUZALIWA, na baba na mama wote ni Watanzania WA KUZALIWA!
 
Anza mkakati kijasusi kuanzia sasa watu watakusaidia, watu wanahasira wamechakachuliwa mpaka wachakachuaji wamejichakachua wenyewe baada ya kuona wamechakachua kila kitu.
 
Back
Top Bottom