Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,845
- 2,667
mabwana na mabibi. tumezoea mabibi na mabwana muda mrefu. tumewapa hawa mabibi nafasi ya kuwa mafirst lakini hawataki so bora mabwana waendelee na ukwanza wao. au sioooo!!!!
Salaam ya aina hiyo inatumika zaidi Sudan,nafikiri na nchi zingine za Kiarabu kama sijakosea.mabwana na mabibi. tumezoea mabibi na mabwana muda mrefu. tumewapa hawa mabibi nafasi ya kuwa mafirst lakini hawataki so bora mabwana waendelee na ukwanza wao. au sioooo!!!!
Karibu maana unakaribishwa na mabwana kwanza na mabibi watakukaribisha baadaye. Hapa ni JF nyumbani kwa wenye fikra kubwa.mabwana na mabibi. tumezoea mabibi na mabwana muda mrefu. tumewapa hawa mabibi nafasi ya kuwa mafirst lakini hawataki so bora mabwana waendelee na ukwanza wao. au sioooo!!!!