naitwa Judith

Ms Judith

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
2,563
918
nawapenda wote na nawatakia x-mass njema.

mr/madam speaker, i propose the motion that judith be accorded a warm welcome at jamii forums where people dare to talk opennly. wake up all those who have fallen asleep and clap your hands please!

mr/madam speaker, I beg to move

thanks mr/madam speaker.
 
nawapenda wote na nawatakia x-mass njema.

mr/madam speaker, i propose the motion that judith be accorded a warm welcome at jamii forums where people dare to talk opennly. mr/madam speaker, I beg to move

wake up all those who have fallen asleep and clap your hands please!

thanks mr/madam speaker.

MMM, hiyo motion yako ungenipa mimi niwapelekee, lakini karibu.

1. Uwe makini na chochote unacho kisoma.
2. Uwe makini na chochote unacho kiandika.
3. Ukiona kitu usikitazame kama hakikusaidii.
4. Heshimu mawazo ya wenzako hata kama wanapinga wazo lako ambalo kwako ni sahihi.
5. Tumia lugha nzuri na yenye busara.
6. Wapongeze wanaotoa mawazo mazuri na toa mawazo yako kwa uhuru wote.
7. Linda nafsi yako kuliko yote uyalindayo.

Ukifanya hivyo utakuwa mwana jf mzuri.
 
judith una jina zuri sana,maana yake ni sifia au penda (praise or admire), mimi ninaitwa aizak nadhani hautajali kama tukifahamiana. mungu akubariki sana
 
Karibu Mama
Mbona utambulisho wako unaonesha ni mvinyo mpya kwenye chupa ya zamani

Lakini husijali,karibu
 
whats up judddddddy...ur most welcome in this congragation of these congragated people in this Congregational...l.o.l
 
kayribou sana Judy......nice meeting you....merry xmas
 
asanteni jamani. namshukuru sana smati manake naona atanisaidia kuwa smart. kaka aizak nashukuru kunijulisha maana ya jina langu, na jata PM nimeishajifunza, nitazitumia ondoeni shaka, nyote mbarikiwe sana.

merry x-mass & happy new year 2011
 
utakuwa unavinjari anga gani kule jukwaa la siasa, la mahusiano au jukwaa la kikubwa au yote yote????

Du Signature Yako!!!!!!! Usihofu mungu atatuunganisha tu.....
 
Merry x-mass na karibu sana!ntakuombea sana usije dondokea mikononi mwa ......
 
nashukuru mdada mwenzangu preta, nimeipenda hiyo avatr imekaa kix-mass. hongera mwenzangu nami natafuta avatar ila sijajua namna ya kui-attach, pia sijajua ukitaka kumjibu mtu pamoja na quotes unafanyaje hadi quote inatokea. naomba mnisaidie jamani.

voice umenifurahisha kuhusu signature . kuna mtu kanifundisha sasa hivi kuiandika na mimejua kwa haraka. wow! kuhusu majukwaa ya JF mi sibagui, ila hilo la kikubwa mmh, sijui kama nitayaweza. ila nikilifungua halifunguki, labda ni ugeni. naamini nitazoea tu
 
Click, Reply With Quote, Karibu sana!
 
ka role play flani hivi!
 
usijali mpenzi...naona kaka Buchanan keshakufundisha namna ya kuquote.....jinsi ya kuweka avatars we gonga kwenye my profile nadhani mambo yatajipa mbele kwa mbele kama sio hapo basi kwenye settings
 
Back
Top Bottom