Naitisha maandamano kupinga kuchomwa makanisa Zanziba

frank m

Member
Feb 8, 2012
54
49
Hakuna uhusiano kati ya kudai uhuru wa Jamhuri ya Zanzibar na ukristu! Serikali ya muungano na CCM si chama cha/serikali ya wakristu na wala wakristu hawahusiki kwa namna yeyote na madai ya uhuru wa Zanzibar.

Kitendo cha kuchoma makanisa ni ushambulizi wa wazi wazi dhidi ya UKRISTU, mashambulizi bila uchokozi. Unprovoked attack on Christianity!

Naita maandamano ya amani kwa wote wanaoamini katika uhuru wa kuamini bila kujali kama ni wakristu, waislamu, wahindu au wayahudi kupinga mashambulizi haya dhidi ya ukristu.

Haya ni mashambulizi dhidi ya uhuru wa kuamini!
 
Nakuunga mkono! Kilichofanyika ni uhuni.
 
Tuambie lini? wapi nani atatupokea japo ingependeza JK akatupokea, usije ukawa unapiga tu porojo. Huu ni uhuni kabisa, udai Znz huru ndo ubomoe makanisa?
 
Nime shaanza kuandamana kupinga "Boko-Haramu" kuchoma Makanisa Zanzibar. Ntaendelea kuandamana kwa maombi mpaka kieleweke!
 
Biblia imefafanua mengi, kuhusu siku za mwisho kuwa shetani atakuwa kazini kupambana naMungu. Hivi watu ambao wanajiita wanampenda mungu huku kila mmoja ana jini unategemea nini! Majini hayapendi kabisa kusikia jina la Yesu.
 
Naita maandamano ya amani kwa wote wanaoamini katika uhuru wa kuamini bila kujali kama ni wakristu, waislamu, wahindu au wayahudi kupinga mashambulizi haya dhidi ya ukristu.

Haya ni mashambulizi dhidi ya uhuru wa kuamini!

Maandamano hayo yataongozwa na chama gani?
 
JUMLA ya watu 30 wakiwemo wanaodaiwa kuwa viongozi wawili wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar, leo walifikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali na kusomewa mashitaka ya uzembe, uzururaji na uvunjifu wa amani

Shitaka jengine walilosomewa mahakamani chini ya Hakimu Mohammed Ali Mohammed Shein hapo ni pamoja na kufanya mkusanyiko usivyo halali ambapo Mbarouk Said Khalfan (45) Mkaazi wa Taveta Meli nne na Mussa Juma Issa (57) Mkaazi wa Makadara wote wakaazi wa Mjini Zanzibar.

Valentine Andrew Katema, wakikabiliwa na mashitaka ya kufanya kitendo kinachoweza kuleta uvunjifu wa amani, ambao walishitakiwa chini ya kifungu cha 74 (1) (b) cha sheria namba 6/2004 sheria za Zanzibar TA

DUH. KUMBE TAFAUTI TULIVYORIPOTIWA NA VYOMBO VINGI VYA HABARI.
Vurugu hizi hata waumini wa kikiristo walihusika?
 
Back
Top Bottom