Naitaka nafasi ya Mkurugenzi wa Tanesco, wadau mnasemaje?

Andindile

JF-Expert Member
Mar 18, 2009
304
16
Mimi ni mwana JF. Jina langu ni William Andindilile,nimesikitishwa na utendaji mbovu kwenye shirika la Tanesco na kazi imetangazwa ambapo wameweka sifa za mtu anayetakiwa kuongoza shirika hilo na mimi nikiangalia viongozi wote wa tanesco waliopita walichukuliwa kwa sifa hizo hizo na bado hawajaweza kuliondoa shirika katika wimbi la matatizo.

Nifanyeje wana JF niikamate hiyo kazi ili niwaondoe kwenye dimbwi la matatizo ya umeme?

Sifa nilizonazo ni zaidi ya wanazozihitaji
 
Job Title : Managing Director
Source : The Guardian, September 18, 2009
Requirements : A bachelor's degree in Engineering (Electrical) or Management. A postgraduate qualification in a relevant technical or business related field will be an added advantage
Job Description :To formulate strategies and oversee implementation for the generation, transmission and distribution of electricity on mainland Tanzania and Zanzibar
Apply To : The Chairman, Board of Directors
Full Address : TANESCO, P.O. Box 9024, Dar es Salaam
Email Applications: subira.wandiba@tanesco.co.tz
Closing Date : 2/Oct/2009
Sijui na mimi niapply !?
 
Mkuu wewe apply, kama watasoma CV ni sawa, ila kama watasoma vi-note pole
 
Last edited:
Hiyo inaweza kwenda nafasi kwa mtu wa kawaida kabisa kwa sababu tu ya adhabu sana na pia inakupasa kusugua sana bogo zake maana kuna dalili za note kibap
 
Mimi ni mwana JF. Jina langu ni William Andindilile,nimesikitishwa na utendaji mbovu kwenye shirika la Tanesco na kazi imetangazwa ambapo wameweka sifa za mtu anayetakiwa kuongoza shirika hilo na mimi nikiangalia viongozi wote wa tanesco waliopita walichukuliwa kwa sifa hizo hizo na bado hawajaweza kuliondoa shirika katika wimbi la matatizo.

Nifanyeje wana JF niikamate hiyo kazi ili niwaondoe kwenye dimbwi la matatizo ya umeme?

Sifa nilizonazo ni zaidi ya wanazozihitaji

So you are overqualified. Hautaitwa hata kwenye interview. Tumsikilize mwingine mwenye sifa zinazohitajika plz!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom