naitaji tempo wakubwa

Parata

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
3,090
675
mimi ni mwanafunz wa mwaka wa 3 nasoma education(history,kiswahili)naitaj tempo ya kufundisha ila iwe arusha mengne ttaongea
 
kuna shule ya kati iko sombetini nilienda wakaniambia tempo inapatikana but inabidi kuwa na subira chochote kitachopatikana ndo wanakulipa
 
kuna shule ya kati iko sombetini nilienda wakaniambia tempo inapatikana but inabidi kuwa na subira chochote kitachopatikana ndo wanakulipa

hapo usiende mkuu itakuwa imkula kwako nakushauri ukae tu home uwe unamsaidia bi mkubwa kupalilia bustani , mikataba bubu kama hiyo waachie sisiem ilishapitwa na wakati!!!!!!!
 
mbona bado mapema mno ushaur kanunu panga na jembe il nikupatie shamba nahc utatoka!
 
I have the same prbm kama mtoa uzi alivyo state: Mie na batchelor ya wildlife management npo arusha,so guys do me the favor
 
I have the same prbm kama mtoa uzi alivyo state: Mie na batchelor ya wildlife management npo arusha,so guys do me the favor

mnafikir kazi zinapatikana kirahis hivyo eh? Hata xul ujamaliza unataka tempo, subir umalize then usote ka miaka 3 ivi ndo upate angalau icho kitempo, bora hata mwenzako mtoa uzi atapangwa kwenda kufundsha so uhakika anao.
 
jitaidi kupunguza ukali wa maneno kilahunja... Kila m2 na bahati yake, af hatafut kazi anataka tempo!!
 
ila msaada cjapata ila asanten kwa ushauri wenu mzuri watu wangu.napenda sana jf na kuhusu jamaa aliesema eti scul ipo ila kitakachopatkana mi iyo no
 
jitaidi kupunguza ukali wa maneno kilahunja... Kila m2 na bahati yake, af hatafut kazi anataka tempo!!

define tempo/ temporary employment? And am trying to show whoever the Tanzania si2ation as long as employment is concern regardles a tempo or permanent..kama we umeona maneno makali then forgive me, in otherwords all was tryn to say is s/he shud concentrate on xul first.
 
Xul wap ww,m2 yupo chuo tena ukute anajisomesha kwa mkopo wa jk,nw ndo mda wa kujitahd hata kupata ela za kuongezaongeza ww unamwambia afocus kwny kitab....wa wap ww
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom