Naitaji mchumba msichana mcheshi mwenye heshima

2kamuna

New Member
Sep 15, 2012
2
0
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 29 natafuta msichana mwenye sifa zifuatazo Awe mcha MUNGU mkirsto hasa msabato itakuwa vizuri Awe na umri kati ya miaka18-26 Awe mrefu kiasi,mweusi maji yakunde weupe pia sio mbaya Tabia nzuri mpenda watu, sura nzuri umbo liwe jembamba kiasi Awe mpenda maendeleo sana, asiwe mvivu, awe mchapa kazi Awe tayari kuishi popote, mjini au kijijini Napenda sana mwanamke mcheshi SIFA ZANGU NIHIZI Mim ni mrefu kiasi, maji yakunde Mimini mkirsto dhehebu ni msabato Si mnene sio mwembamba nipo kati Tuwasiliane kwa namba hii +255713113491 au Barua pepe juliusjoseph29@yahoo.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom