Naitaji mchumba msichana mcheshi mwenye heshima

2kamuna

New Member
Sep 15, 2012
2
0
Tabia nikitu cha kwanza, Mcha MUNGU Mpenda maendeleo mwenye kukubaliana na maisha yaaina yote. M REFU KIDOGO Rangi haijarishi sana dini mkirsto hasa msabato itakiwa poa sana T UWASILIANE LWA NAMBA HII 0713113491 Au Email juliusjoseph29@yahoo.com. akiwa tayari wakati wowote napatikana, asiwe mbabaishaji.
 
2kamuna kazi unayo nenda kwenye mapenzi hapa watu watakuja wale kibishara zaidi
 
Last edited by a moderator:
Nina demu wangu ana vigezo vyote ulivyotaja.... Ila tu ni sero+ ,unasemaje,nikuunganishe nae ?!
 
@dawayasikio we jamaa dalali haya bana ngoja nikuletee wateja malipo ya udalali ngapi kwa kichwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom