Naitaji laptop ya kununua

Nipo dodoma kwa sasa yeyote aliye na laptop ya kuuza 2gb,DVD ROM,HDD 80 isiwe mchina
0768596758
 
we boya nn...

mimi si boya bana, sadaka haupendi kutoa unataka laptop ya laki mbili? hata MUNGU hawezi kukupa kwa maombi yako ya kiboyoboya. haupati laptop kwa bei na specification zako. lakini ukhitaji laptop tu ili mradi na wewe una miliki laptop nenda kariakoo hata 3 utapata tu.
 
umeona jinc ulivyo boy* mi nmesema nataka ya laki2 au hata kusoma hujui!?
Umejuaje ctoi sadaka ...au unacoment ilimrad na ww uonekane umecoment...jiangalie ww...
 
hiyo laki 2 au 3 labda utapata laptop ya MBAO.
 
na nmeshapata 4ur info ...kama we huna wenzio wanazo...i wonder ww jincia gan mana kama male...mm umbea uache aukupendezei kabixaaaa
 
ubahili utakuuwa wewe
unataka laptop kali hela huna,kwanini usitunze hadi uje upate laptop nzuri
angalia utauziwa then afta 6 mths utatia akili ukikuta haiwaki tena
 
na nmeshapata 4ur info ...kama we huna wenzio wanazo...i wonder ww jincia gan mana kama male...mm umbea uache aukupendezei kabixaaaa
nilkwambia kama laptop ya mbao utapata tu haina shida, hongera lakini najua huwezi kudumu nayo itakufia tu. tunza hela kidogodogo then nunua laptop ya maana.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom