Naitaji laptop ya kununua

Kwa bei hyo yenye webcam nduguyangu kupata sijui labda uambulie mini tu na ambayo hautaki,mie ninayo acer ni kubwa 15inch disk 500gh ram 1gb core 2 duo,bei 400000tsh if interested holla 0713388226
 
naingiza kutoka dubai kwa bei nzuri sana ila naletwa mpya tu! unahitaji aina gani?
 
nina samsung RV 510
*RAM 1GB
*HDD 80GB
*PROCESSOR Dual core 2.1 GHz
*CAMERA
*DVD RW
*SCREEN 15.6 inches
*Dar es salaam ndipo mahala ilipo
Inaenda kwa Laki tatu na nusu (350,000/=). Kama unahitaji wasiliana na mimi kupitia namba 0714894798. Ipo katika hali nzuri.

2012-10-20 10.29.56.jpg 2012-10-20 10.29.56.jpg 2012-10-20 10.34.23.jpg 2012-10-20 10.29.03.jpg 2012-10-20 10.33.38.jpg
 
nina samsung RV 510
*RAM 1GB
*HDD 80GB
*PROCESSOR Dual core 2.1 GHz
*CAMERA
*DVD RW
*SCREEN 15.6 inches
*Dar es salaam ndipo mahala ilipo
Inaenda kwa Laki tatu na nusu (350,000/=). Kama unahitaji wasiliana na mimi kupitia namba 0714894798. Ipo katika hali nzuri.

mbona umetoa namba za gari kaka????
 
Samahani jana jioni nilikuwa offline kwa maasaa kadhaa. Ila kwa sasa napatikana hewani waweza nicheki
 
Hehe Spinster..mi ntakusaidia kuangalia usalama wa mali yako! uniite unapoenda kuichukua.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom