naitaji kufundishwa jinsi ya kudownload movie.nipo tayari kumlipa mwalimu

chuo gani hicho mkuu,maana hapa watoto wa wakulima 2nadownload muviez ukubwa 2naoutaka kwa 500-700kbps kwa wireless n 1-3Mbps ethernet cable..teh teh
 
hawa najua bado wanakupa maujanja ambayo ushatumia,tuma e mail kwangu kama bado hujajua jinsi ya kudownload hizo movie
ntakupa programe ya kudownload,ku-burn moja kwa moja kwa bei ya dagaa
 
Alo hata mm niliikopi, bidae nikaona kha! Mbona kila post inayo? Nikagundua kalangabaho!
 
Wadau nataka somo la jinsi ya kudownload latest movies, nipo tayari kumlipa mwalimu vile tutakavyokubaliana, asantdm
Somo utapata na malip instamenet ya kwanza ni baada ya uzi huu. yawasiihe JF kama mchango.....lol.

Somo nitakupa mwanafunzi mwalimu miye ni kwa njia hiii hiii ya kupita hili "daftari" la JF technology. Haya kamata kalamu....lol

Dhumuni lako ni kujua namna njia n softre au nyezo bora au tovuti za kudowlooad movie......

Sasa kabla ya kujibu swali lako inabdi ufanye homework. Homework ni ya
  • kuelewa uwezo wa mtandao wako (ISP) unaotaka kutumia kudowload hizo movie.. iwe ni zantel,, Tigo Airtel etc kulingana na eneo ulipo . Ukijua wastani wa Download speed ya modem au router yako itapendeza. Sasa utajuuje speed ya internet yako? Hope unalo jibu bia maelezoza ziada.......... ...
  • Movie unazotaka kupakua ni za aina gani. au size gani Kuna movie X unaweza kuipata kwenye size ya 700MB( size ya CD ripped) . Movie hiyo hiyo X unaweza kuipata katika size ya labda ya 1.3 GB na some time movie hiy hiyo unaweza kupata kwenye size ya 3GB. na k una movie hiy hiyo unawez akupata kwenye format ya 3GP ambayo ni format rafiki kwa kunangiia movie kwenye screen ndogo hasa za mobile.
Mfano kuna hii Movie soma inaitwa Hugo (Bofya hiyo tovuti ya malezo ya movie)
High Resolution size yake ni 5.4 GB unaweza ipakua hapa Hii unaweza kuitazam hata kwenye HD TV sccreen
DVD RIP szie yake ni 1.3 GB unaweza ipakua hapa
Kwa simu japo si hi sio hugo size mara nyingi inakuwa kama 500 MB Kuna hii hii Iron Man 2

NB kwenye Tovuti ya IMDB utajua mvie mpya zote ziizootoka zitakazotoka ,actors wake etc . Zaidi ya kujua upya na uzamani wa movie utaona hata ratings. kuna movie inaweza kuwa mpya isiwe nzuri lakini kuna movie zinaweza kuwa za mwaka 1990 nzuri na hujawai Kuziona . Yote integema unapendelea aina gani za movies. Lakini hapo IMDB ndio pa kukupa mwongozo na movie gani ukatafute na kuchakachua au hata kununua... teh teh teh

Kwa sabbau tunaongea movie nakushauri tafuta movie hii ya Fatale Attraction japo ni ya mwaka 1987 Huyu huyu jamaaa Miache Douglas kacheza movie nyingine inaitwa Basic Instinct . Kama unapenda movie zenye mapenzi mapenzi na visa ndani yake darasa likiiisha utatakiwa kuzitafuta.

Leo naishia hapa .darasa litaendelea siku nyingine njoo na hela ya mwalimu kabisa na maswali na majibu homework.

Walimu wengine wakuu wataogenzea
 
Kaka nakushukuru sana kwa darasa, plz ni pm contact zako niweze kukutafuta.asante
 
hahahah PM tena mwanafuzi hujaleta hujawasilisha hata ada kwa JF......... na bado Hujaleta majibu ya avarage speed ya network yako .......... Anyway nitaendela na Darasa kukupa mwanga zaidi na motisha ya kulipa.........

Umuhumi wa kuelewa Downaod speed katika dowload
Tovuti hii ya Numion inakupa inteface ambayo ukiingiza size ua movie na overhead . Itakupa kadirio la muda utaotumika kupakua file kulingana na a speed mbai mbali

mfano kama ni movie ya size 1.5 GB network ina overhead ya 10% basi
kwa modem/ya inayosafirisha data kwa wastani wa
  • 128 Kb/s itachukua muda wa masaa 28 Dk 38 na sk 45
  • 512/kb/s itachuua muda wa masaa 7 dk 9 na sk 41
  • 1 Mb/s itachukua masaa matatu dk 34 na sekunde 50

kwa hiyo unawza ona hapo kama mtandao una mushkeri basi unatakiwa utafute fie za movie size ndogo ambzo kwa Quality nazo si nzuri sana

Dah naona mwalimu kahama kwenye movie ahami wenye Data transfer rate and speed.

Week end njema


index.php
index.php

index.php
 
Back
Top Bottom