Nahitaji asali

frozen

Senior Member
Aug 12, 2010
135
32
Habari wanajamii plz nahitaji asali, ila sina uzoefu wa bei zake, mwenye kujua bei kwa lita na wapi asali nzuri inapatikana hapa dar, asante.
 
ungekuwa mbeya ningekuelkeza sehemu ya kupata..
nasikiaga watu wanapenda asaki ya nyuki wadogo-kwamba ndo nzuri..
au asali mbichi..nasikiaga ni nzuri pia.sijui kama ni kitu kilekile au kuna tofauti..
kama vipi nenda katafute kariakoo ila ujiandae kupoteza mda mwingi na bugdha haswaa!!
 
Litre moja ya asali ni shilingi elfu kumi, njoo mtaa wa mkunguni na sikukuuu, ulizia kwa Mfalme Katungunya, utapata
 
mkuu ni PM nikupatie asali mbichi kutoka TBR,naweza kukufanyia TSH 35,000 kwa lita tano,pia ukitaka ya nyuki wadogo inapatikana pia lkn bei yake ipo juu kidogo.
 
Kwa mahitaji ya MDALASINI WA UNGA na ASALI MBICHI,tafadhali wasiliana nami kwa namba hizi: 0754 255 734/0712 259 129 Asali lita1 Tsh10,000 na Mdalasini ni Tsh 2,000
 
habari wanajamii,
plz naitaji asali, ila sina uzoefu wa bei zake, mwenye kujua bei kwa lita na wapi asali nzuri inapatikana hapa dar, asante
Nikuagizie Tabora..! Huwa naleta na kupeleka Nairobi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom