Naisubiri hii siku kwa hamu!!

Najua unarushaga mistari kule ila sidhani kama umewahi kumtaja kwa jina.
Nimefurahi ulivyomjibu OTIS.
Sijawahi kumtaja kwa jina but ukienda profile yake utakuta mistari toka kwangu. As for Otis, nadhani alikua anatania, hawezi kunipenda kwa kunisoma tu humu JF. But utani huo sio mzuri pia :)
 
Now I'm curious to know who he is? Mind telling me via PM?
 
Back
Top Bottom