Naisubiri hii siku kwa hamu!!

ulipost lakini sikukuelewa.

1. hukumuelewa kwa sababu ni sawa na mwalimu wa history kuamua kufundisha Physics A level
2. hivi alipost kuhusu nini?
3. Kongosho umewahi kutumia kitambulisho chako cha kura?
 
Taratibu, mie sio mgambo. Ni mwanamwali wa Gaddafi ujue! Sasa nasaka kazi, kama unahitaji watchwoman nistue. I don't steal husbands.

mmmh.....mimi hapana taka watchwoman, nafanza mume yangu mpaka filika!! Kama we nataka job iko nenda al shabaab!!!
 
2005 sikupiga sikuwa na wa kumpigia
2010 nilipiga

Mie nafundisha mwandiko gangilonga primary school
Kama uko mitaa hii tukutana kwa dukani kwa Pera.
1. hukumuelewa kwa sababu ni sawa na mwalimu wa history kuamua kufundisha Physics A level
2. hivi alipost kuhusu nini?
3. Kongosho umewahi kutumia kitambulisho chako cha kura?
 
2005 sikupiga sikuwa na wa kumpigia
2010 nilipiga

Mie nafundisha mwandiko gangilonga primary school
Kama uko mitaa hii tukutana kwa dukani kwa Pera.

aaah!! kwa mama siyovela kwenye kitimoto patafaa au?
 
Kutakuwa na maandamano. ., lolz

hapana maandamano... watazoea tuu...kuna waliopendwa saaaaaaana JF huko nyuma leo hawapo!!! zimebaki stori tuu labda wamekuja na ID zingine
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom