Naisi kuna mwanamke Anaishi nae

Ujinga tu mtu kugawa K yake kabla ya ndoa hizo K mmepewa na mungu sio mziwache wazi kabla ya ndoa.

Eti tunakutana hotelini afu ananipenda na mimi nampenda ujinga mtupu, mwenye kukupenda anakuoa sio anakuchezea hotelini.

Akatae akubari ukweli ndio huo, yaani miaka mitano hupo gizani bado unajiona upo peupe kweli muda hauna thamani tena kwa kizazi hichi.
 
sasa hapa ndo umeandika nini, watakatifu wenzio hawana kashfa hizi
Mimi sio mtakatifu kabisa mimi anaye nipa K yake huwa simuwachi lakini nawapa ukweli kwamba kugawa K kabla ya kuolewa ni ujinga tena ule wa mwisho.
 
hivi kwa mfano, mahusiano kama hayo mtu hujui anapoishi, ikatokea kaugumu hawezi ongea na simu, au menuniana hamuongeleshani sululu inapatikanaje

ningekuwa mimi mwezi mmoja tu ungenitosha kuevaluate mahusiano hayo
 
Miaka mi5?? mamito inaonekana unatowa Sex tamu kweli kweli ila hufai kuwa wife,

ukute alioa ndani ya mahusiano yenu hayo, hayo. shtuka!
 
Mtafute ndg yake yeyote,au tafuta hata mtu anaefanya nae kaz simply uujue ukweli...changamka mama wanaume sio wenzako...afu wanawake kumbuka mna deadline..kalagabaho
 
Dadangu kwanza nikupe pole saaana... Yalishawahi kunikuta nilikaa nae 4 months akawa hataki kunipeleka kwake... Nikafanya uchunguzi nikagundua kumbe ana mke anaishi nae.! Hapo lazima kutakuwa hakuna usalama, miaka mitano ni mingi sana kwa mwanaume anayekupenda kwa dhati kutokukupeleka kwake.! ANA MKE ANAISHI NAE HUYO..
 
Duh! My ndugu is not all that weird kumbe? Nna ndugu ana boifrendi 8 years now, wanazeeshana (manake ni 35+ sasa) ila hajui mwanaume anaishi wapi. Anazima simu 5 days na wanaishi same town. Unaweza kutembeza viboko!
 
Miaka mi5?? mamito inaonekana unatowa Sex tamu kweli kweli ila hufai kuwa wife,

ukute alioa ndani ya mahusiano yenu hayo, hayo. shtuka!
Sijui na mimi nienda kujaribu mana anaonyesha anajua kuzirelease hand brake.
 
Hivi wanawake mna akili gani jamani?


unauliza wanawake tuna akili gani ww zako umeziona? unakuja kuuliza kama umuache

mamito wako sbb tu ya mavuzi kuomba ruhusu kwa watu usiowajua! nyie wanaume mna akili gani jamani?
 
Inafaa uendelee nae hivyohivyo, nahisi ungepajua kwake msingemaliza hata mwaka mmoja,kubali tu uendelee kuwa wa hotelini
 
Sijui na mimi nienda kujaribu mana anaonyesha anajua kuzirelease hand brake.


hata mimi niko na mahusiano na wanaume wawili 5 na 7 years,

ila mm najua mmoja kaoa mwengine ni padri na nimeridhia.

so usihangaike sana papito, sio lazima uende kwa huyo. come this way......... mwaaaaaah.
 
Duh! My ndugu is not all that weird kumbe? Nna ndugu ana boifrendi 8 years now, wanazeeshana (manake ni 35+ sasa) ila hajui mwanaume anaishi wapi. Anazima simu 5 days na wanaishi same town. Unaweza kutembeza viboko!

hii ni comon sana,nakumbuka wakati nipo chuo kuna dada mmoja alisoma high school na sister angu sasa bahati nzuri sana akaja tukawa kozi moja alikuwa na boyfriend for ten years yaani hakukuwa na promise yoyote ya ndoa,tukawa tunamtania dada x angalia vizur bana hii kitu ipo sawa kweli? hee dada si kaja kugundua kua jamaa ana mke na watoto! daah it was really hard for her,ilichukua muda sana kwake kuheal ukizingatia umri ulikua umesogea. basi bahati nzuri dada akapata mtu wake mwingine baada ya muda si mrefu wakafunga ndoa.

sasa my dia amka toka usingizini,si hali ya kawaida hiyo.
 
hata mimi niko na mahusiano na wanaume wawili 5 na 7 years,

ila mm najua mmoja kaoa mwengine ni padri na nimeridhia.

so usihangaike sana papito, sio lazima uende kwa huyo. come this way......... mwaaaaaah.
Si unajua navyo kupenda lazima nije tu :bounce:
 
kuna kitu hapa sikielewi..miaka 5-bila ndoa??mtu ana watoto ambao wanahitaji a mother figure in their lives-anasubiri nini kukuoa??my dear..nasemaga trust your instincts..hapo kuna jamabo,tena sio zuri kwako.

tena nikwambie hata siku moja usimsikilize mwanaume anayekupa maneno matupu ya nakupenda..bila vitendo!kama anakupenda si akuoe??au anamsubiri nani mwingine??

afu haya mambo ya kumalizana hotelini ni jambo la aibu sana..it is like you are of no importance to him,he doesnt want his children to see what a mess he is fu**!^& so he takes you to a hotel.
na kujituma kote huko na uvumilivu wa miaka tano am sorry to say huna chako!leave with whatever dignity u have left..
 
Back
Top Bottom