Nairobi to legalize Ukahaba

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
The city council of Nairobi is considering to relax its by laws to allow sex workers to operate freely. Nairobi mayor says the council will stop harrassing sex workers and will certainly find a place to have them operate freely and they will be required to pay relevant taxes. Will consider petition signed by prostitutes by Feb 14.

What are your thoughts on this?

It happens anyway in NRB ,DAR (jolly,macheni,kinondoni) they might as well legalize it/80% ya wanaume washakula kahaba.
 
Afadhali dada zetu waache kubugudhiwa na mapolisi pamoja na kudhulumiwa na wateja.
 
dah!...kenya wamebuni mbinu nzuri ya kuboresha maisha. watalii wengi wa nje na ndani wataongezeka hivyo kipato na mzunguko wa fedha nao utakuwa mzuri. dada poa kutoka sehemu mbali mbali na nchi za jirani nao watapata nafasi kunufaika na huruma hii.
 
The one who said it is "the oldest profession" was not wrong, he/she only failed to omit the word "illegal" between oldest and profession.
 
dah!...kenya wamebuni mbinu nzuri ya kuboresha maisha. watalii wengi wa nje na ndani wataongezeka hivyo kipato na mzunguko wa fedha nao utakuwa mzuri. dada poa kutoka sehemu mbali mbali na nchi za jirani nao watapata nafasi kunufaika na huruma hii.
Mfumo Kristo in action !
 
juu ya hiyo story kutambamba sana wacha sisi tubaki na ufisadi na siasa.
 
The city council of Nairobi is considering to relax its by laws to allow sex workers to operate freely. Nairobi mayor says the council will stop harrassing sex workers and will certainly find a place to have them operate freely and they will be required to pay relevant taxes. Will consider petition signed by prostitutes by Feb 14.

What are your thoughts on this?

It happens anyway in NRB ,DAR (jolly,macheni,kinondoni) they might as well legalize it/80% ya wanaume washakula kahaba.

Mhhhh, I see influx ya machangu wa kichagga na wahaya huko Nairobi.
 
Si kweli, angalia makahaba wengi wa hapa Dar, then njoo unilaumu.

Mkuu;
Hata mimi zamani nilidhani Wahaya ndo makahaba mpaka nilipojionea mwenyewe kuwa kumbe hao ni cha mtoto. Siku hizi, kila kabila lenye mwanamke, wamefika huko. Nenda Dodoma kipindi cha bunge. Sema lugha ya kwenu, nao utawaona foleni.
 
Hivi kahaba ni nani haswa, hebu tuanzie hapo.
Japo hii mada ni ya zamani, wakati Nairobi inaongozwa na meya, lakini kwa jinsi mnakurupuka bila kuangalia tarehe, itabidi niwaelewe.

Lakini swali langu la msingi, kahaba ni nani. Halafu naomba mnipe majina ninayofaa kutumia kwa hawa watu
- Mwanaume anayenunua ngono
- Mwanamke anayepandishwa madaraka au kupata matokeo mazuri chuoni kwa kutumia ngono
- Mwanaume anayelipwa kugegeda wanawake wenye hela
- Mwanamke anayefanya kazi ya escort

Orodha ni ndefu, ila naanza na hao kwanza.
 
Back
Top Bottom