Nairobi is not safe any more

spacer.gif
[h=1]The Facts About Corruption In Kenya[/h] While a certain level of corruption goes on in every country, corruption in Kenya is a particularly large problem. The average urban Kenyan has to pay 16 bribes a month to get his regular affairs arranged. This page contains the facts
Source: Corruption In Kenya: The Facts

spacer.gif
The Facts About Corruption In Kenya

While a certain level of corruption goes on in every country, corruption in Kenya is a particularly large problem. The average urban Kenyan has to pay 16 bribes a month to get his regular affairs arranged. This page contains the facts
Source: Corruption In Kenya: The Facts

Do you remember that border row at namanga recently. And Richard Sezibera's report on how many road blocks visiting trucks has to cough money before passing into Tanzania. Wewe kaka! pia tusisahau idara ya uhamiaji Tanzania. How you have to bribe officers to get border permits..."Nevertheless, recent surveys by both public and private Tanzanian organisations indicate that corruption is perceived to be widespread and "a way of life" in Tanzania: bribes are extorted as a matter of course for even basic services such as education, health and water."
 
Ndugu Hute, poza jazba za vijiweni, hapa na JF. Wajua tuzungumze ukweli. Eti tatizo la zanzibar haliwezi kuvuta uchumi wa TZ nyuma. Kwanza niulize Tanzania ina uchumi gani ispokuwa backbone ya Accounts za World-Bank/switzerland. Wakati mzungu atakapofunga virago na kwenda zake mutabaki walalahoi.

.......Unanichekesha kusema kenya iweze kuomba Tanzania msaada wa chakula na kijeshi. Niulize swali, huwa hata unapumua unapotoa comments kama hizi. Wakati umati wa watu kule Mwanza Tanzania hawana hata basic services kama huduma za Maji na wengi wanachakura musituni kujitafutia mboga za mwituni kujilishia sima......Kenya iwaombe Tanzania msaada?......... jameni!

I've touchd by ur second paragraph.. I bet its coincidently u talkd of Mwanza..
Never in the history Mwanza has sufferd or faced hunger outbreak.. Its the well-wetherd region in E.A people are self-motivated in economic activities.. Even if the central govt ceases its support to Mwanza, stil the region can lead the life of its people.. In Mwanza u cn fnd all sort of crops, due to soil fertility and required rainfall..

Hvyo usiizungumze vibaya Mwanza!
 
Last edited by a moderator:
Kibaridi, hakuna nchi yoyote duniani inayoweza kusimama na kusema hawana tatizo la corruption. hakuna. Tanzania kama ilivyo nchi nyingine Kenya, Uganda, Nigeria, UK, USA, China etc wana corruption scandals, tena nyingi sana. The main question kwangu mimi, nchi husika inafanya nini? watu wanakaa kimya as if hakuna tatizo?

Kenya wameshakumbana sana na jinamizi la ufisadi kuanzia Goldenbergy hadi Nationa Health Insurance. Cha muhimu ni kwamba kama Taifa, Kenya wanafanya nini kupambana na ufisadi? Ofcourse sio kwamba kila mwananchi atakuwa anajua nini kinaendelea lakini kuna vikundi/institutions zinazofanya kazi kupambana na ufisadi, na zinafanya kazi? Kwangu mimi haya ndio mambo ya msingi.

Kwa upande wa Tanzania, kama umekuwa unafuatilia siasa kwa karibu, corruption imeshawagharimu sana CCM. Ni week chanche zilizopita baraza la mawaziri lilisukwa upya, na hii sio mara ya kwanza chini ya uongozi wa sasa. Sababu kubwa ni corruption. Na mmoja wa wahanga wa haya mabadiliko ni waziri wa nishati na madini. Ninachotaka kukuambia si kwamba watanzania hawajui kuna tatizo na si kwamba hawafanyi chochote kuhushu corruption. Sasa hivi siasa za Tanzania zimepanda nyuzi joto sana na sababu kubwa wanafuatilia uwajibikaji wa viongozi kwa karibu sana.

Kuhusu maji, sehemu kubwa ya nchi watu wana maji. Yapo bado maeneo yenye matatizo lakini kwa kiasi kikubwa maeneo mengi watu wanapata maji. Kwa mfano sehemu nyingi mikoa ya Kilimanjaro & Arusha, sio tu wanapata maji bali wanapata maji "safi na salama" . Maji yanakuwa treated vizuri kabisa huna haja ya kuchemsha na hata kununua maji ya kunywa. Sehemu nyingine maji yanakuw 'masafi' lakini sio salama kwa maana huwezi kunywa bila kuchema, lakini maji yapo. Mradi wa kutoa Lake Victoria -Mwanza kuja Shinyanga ulishakamilika na ulilipiwa na serikali ya Tanzania 100% licha ya ukubwa wake.

Hiyo kesi ya Biwater ya 2003 - Waingereza hawa walijaribisha their luck kuiingiza Tanzania mjini but in the end waliondolewa tena kupata walichokuwa wanatarajia!

Kwenye gas, pamoja na udhaifu maeneo fulani kwa kiasi kikubwa hii sector inapiga hatua nzuri. Kuna pipeline from mikoa ya kusini kuja Dar na ukikamilika kwa utapunguza gharama za umeme kwa kiasi kikubwa. Sijui ni lini mara ya mwisho umetembelea Dar, sasa hivi mabomba ya gas (for domestic use) yanatandazwa ardhini. Pita maeneo ya Sinza, Ubungo utaona mafundi wanafanya kazi kila siku kutandaza haya mambo tayari kuunganisha mara main pipeline itakapofika. Kwa hiyo infrastructure ya kufaidi natural gas ipo kwenye implementation stage.

Kwenye madini (na hata gas, oil), siwezi kukuelezea sakarasi zote hapa lakini itoshe kusema kuwa kwa sasa serikali naye ni shareholder. Yes, improvement inatakiwa lakini sio sahihi tukawa na picha kuwa watanzania wamelala usingizi. Pengine hatuweki mambo mengi online na hivyo hata kama mtu ata-google anapata taarifa ambazo ama ni za zamani au zimechakuchuliwa. Nadhani unaweza kuona ni jinsi gani watu wanatumia nguvu kupinga taarifa nyingi hapa JF, na sababu kubwa zinaweza kuwa ni tofatuti ya 'scripts'.

FJM, Msingi huo unaosema nauelewa. lakini kwa kifupi niseme hapa huyu ndugu anayeitwa hute anaota sana kusema kenya inalishwa na tanzania huku serikali ya kenya ikinunua mahindi ya ziada kutoka Tanzania. Does he know the meaning ya kulishwa kama wasomali/wakimbizi wanavolishwa. Unapokwenda dukani kununua unakua "unaomba msaada" au "unalishwa"? Huyu ndugu yafaa achangamshwe bongo!
 
FJM, kulingana na hili jinamizi la ufisadi, CCM wameweza kuonyesha mwelekeo mzuri na hasa ya kuigwa EA mashariki. Uzuri ni kwamba CCM walifanya juu chini kuchuja hao mawaziri wafisadi. Serikali ya kenya haifanyi juhudi zezote kuhakikisha ufisadi unamalizwa. Ukiangalia goldenberg/angloleasing bado ripoti hazijatoka na ukizingatia huyu Mkuu wa mahakama Willie Mutunga na katiba mpya bado hazionyeshi dalili ya kuwa ufisadi utaangamizwa.

Katika idara nyingi tunafaa reforms za hali ya juu, ingawa wabunge wako dunia yao, katika masebule wanayoyafahamu wenyewe wakipanga jinsi watakavyochezesha "political economy/status quo. Hata ukiangalia vyombo vya habari kenya, vimekuwa campaigning tools/vyombo vya kusukuma marais na wabunge watarajiwa bungeni. Hakuna media house inayonuia kutangaza habari itakayowafaa wananchi. Hakuna inayoelimisha au kuongezea maarifa. Ukitizama kama kwa mfano Citizen jioni, dakika kumi za kwanza ni habari za siasa na hili ni changamoto.

Niseme wanasiasa ndio waovu na ukiangalia wenye wamehusika katika kashfa la NHIF, ndio wanapiga domo zaidi eti wanadhulumiwa wanapotafuta urais katika kampeini. Mimi naonelea ni vigumu kuondoa ufisadi kama katika docket za NHIF na bado wamesalia ofisini wakiwa wametuhumiwa. Hakuna anayeaminika katika siasa. Hizo tuhuma za Tanzania kupeleleza rushwa kwenye uchimbaji migodi, nilisoma kwenye gazetti la 'The East African". Sijui validity ya makala hiyo.

Yaonekana watanzania wengi hawana habari kuhusu miundo msingi/pipeline ya gesi imefikia wapi. Utakuta mtu anangangana kusema eti gesi imefika manyumbani huku wewe wasema iko kwenye implementation stage ambayo ni sawa. Hii information gap FJM ndio tunatazamia kuumaliza. Nina swali katika uchimbaji mafuta, mumefikia wapi? Ili wanaotaka kupotosha watu hapa JF waweze kujielimisha. Uzembe huu ya kutotaka kujua kweli kuhusu uendeshaji wa biashara ya madini licha ya kuwa na information supa highway ni udhaifu nimekuta wanaJF wengi hapa irespective of country.

Ule mkataba wa misri muiliivunja/Mto Naili au munatumia maji ya ziwa victoria? Nimalizie na kusema ikiwa gesi itapunguza garama ya uzalishaji umeme basi hili ni jambo lenye faidi. Naitafungua sana biashara EA.
 
CCM wamefanya nini? hii ndo akili ya mkenya, anafikir anajua kinachoendelea tz kumbe ni mbunye tu kichwani mwake imejaa na kuvimbiana. kwa sentensi hiyo tu niliyobold, sihitaji kuendelea kubishana na wewe, kwasababu haujui kitu chochote kinachoendelea tz, jaribu kufuatilia vizuri mambo ya kitz utaelewa kuwa unachoongea ni sifuri kubwa ya tundu la oooooo.
 
Hii mechi bora ingechezwa Kenya vs. Uganda, Tanzania bado ni bongo lala. Ndugu zetu wa Kenya tusubirini kwanza tuliangamize jinamizi ccm ninalotuangamiza halafu ndo tutaanza kuongea
 
Back
Top Bottom