Naipongeza star tv....kwa kuonyesha mapokezi profesa ibrahim lipumba

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Kama humu ndani kuna watu wanafanya kazi star tv......kwa kuonyesha mapokezi ya mueshimiwa profesa ibrahim lipumba mungu awabaliki .........ningekuwa cha kuwapa ningewapa hata elfu 80......kwa kuonyesha ya kuwa nyinyi sio wabaguziiii
 
Back
Top Bottom