Ni translation tu na haibadili content hata kama haikubaliki kiislamu......kumbuka wako waarabu wengi wakristo...........uarabu sio uislamu
لأَنَّهُ هكَذَا أَحَبَّ اللهُ الْعَالَمَ حَتَّى بَذَلَ ابْنَهُ الْوَحِيدَ، لِكَيْ لاَ يَهْلِكَ كُلُّ مَنْ يُؤْمِنُ بِهِ، بَلْ تَكُونُ لَهُ الْحَيَاةُ الأَبَدِيَّةُ.
daaah ulivo sema chumvini mimi niliwaza mbali..! mambo ni aje lakini..!?
umeona eeeh yani ni balaa miwazo inaenda mbaaaaaaaaaliiii...!!!!hivi vichwa vya habari Noma sana Mx