Naimba ninacho kipenda

Mzururaji

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,559
1,272
Imar Kama Chadema.
sio Mnafki Kama Mkapa
jasiri kama Lema!
Ni Profesa Kama Lipumba Ila Sinuk Kama Kimba
Mwerevu Zaidi Makamba..
profesa Kam Safari
Mshindi Kama Nasari.
popote Twende Sijakimbia Umande, Msomi Kama Silinde ,
sina Hoja Za woga kama magamba hoja zangu za mana zanifanya nishinde sio mjinga mjinga kama lusinde
Maarufu Kama Zito..
star Wa Aplicalpto magamba msinigunse Me Ni Wa Moto.
dili Ka m4c Mjanja Ka wana chadema Co Boya Ka Dr kj
tajiri Ka Ndesamburo Naish kigoma japo natokea Moro........ *Kama unaweza ongeza mistari mwisho wa siku tupate wimbo*
 
Sizibi Hoja kama Kinda,
Ingawa masikini kama Chinga, Silii lii kama Anne,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom